Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Nan kasem?
Lizzy[mention]Dr Lizzy [/mention]
Nan kasem?
Nae katoka ndio kaniachia mimi!🤓Tatizo namjua lieachiwa simu[emoji28]
Nae katoka ndio kaniachia mimi![emoji851]
Embu jaribu tuone 😀Nitalogin jf
Hapana nakataa kabisaKaka yako kasema!!😁
Mbona unamsingizia sijamsikiaLizzy[mention]Dr Lizzy [/mention]
Nitafutie wateja huko kwenu niwe nawatumia.🙂Kitumbua?[emoji28]
Mbona unamsingizia sijamsikia
Hauheshimu wakubwa??😳😳Hapana nakataa kabisa
Nitafutie wateja huko kwenu niwe nawatumia.[emoji846]
Wewe kaka angu nitakusemea kwa shemeji unamchetHuyu ndio mrembo mwenyewe naemzungumzia
Naheshimu sana ila ngoja nikae kimya sasaHauheshimu wakubwa??😳😳
Hao wote wanafanya biashara ya vitumbua???
Weee afro Na chogo langu hiliiii 😂😂😂😊😊!Nakushauri unyoee Afro tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kaka angu nitakusemea kwa shemeji unamchet
nataka kujua hicho kitumbua ni cha nani?
Weka order basi!!! Ila malipo ni upfront, vikichelewa kufika nisipate hasara.Mimi ndio mteja mwenyewe