Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

#mood
20230526_080848.jpg
 
Bantu Lady Aaliyah cocastic Naombeni msuko mmoja uwe mkareeee yani matraaatraaaaa sanaaa .. utaonipendezaa kwenye li komwe languu hiliiii😊😊!!
Sio knotlesss . sio mabutu sio njia mbili sio yebo.. Mwingine kabesaaaa
Hapo sasa mrembo. Usijali nitakutumia Whatsapp, uchague upi utaupenda. Ungekuwa hapa nilipo, ungetengeneza nilionao mimi sasa.
 
👏🏾👏🏾

Sasa umetaja makande ya kazi gani?????😟😟 Utanifanya nijishughulishe nayo wakati muda sina!😵

Kisamvu cha karanga je hupendi??? Mie vyote ulivyotaja + mchicha na mnavu uliochanganywa na nyama, bila kusahau majani ya maboga!!!! Ugali unakua unashuka vizuri sana!🤤🤤
Uko vizuri kwa mapishi

Karanga ni nzuri sana pia ikitumika kwenye mapishi. Tatizo langu nikinunua karanga zile zilizosagwa na kuwa packaging huwa naanza kushawishika kuzila zenyewe au kupaka kwenye mkate. Hazitoboi kukaa muda mrefu
 
Back
Top Bottom