Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ewaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ugali kama uliopika leo
Na zile mboga unawekaga nazi mwee

Hivi makazi mapya ni wapi siku nije niwatembelee[emoji38]
Mara nahamia hapohapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata!!!☺️☺️
Kama kesho nataka nipike majani ya maboga, kama naona yatakavyonoga!

😂😂😂😂😂
Karibu na upepo wa Ununio unapishia!😉Hamia kabisa tuwe tunapokezana kupika!🙈🙈🙈
 
tengeneza mwenyewe nyumbani .

napenda kisamvu nilikuwa nanunua karanga halafu natwanga kwa kinu .

karanga ni bei ukitaka nzuri ununue zq bei . kukwangua maganda yote ni kazi kweli .
na usage baada ya hpo .

vikopo navyo vimepanda bei bado sticker .ni kufanya biashara kwa mazoea tu
Hahaha sasa sisi wanaume kutwanga kwa kinu ni changamoto

Na ukisema upandishe bei kufidia hizo gharama wateja watakimbia bei changamoto sana
 
😆😆😆😆

Hata mimi huniambii chochote kuhusu makande, makukuru(ni kama makande ila mahindi hayakobolewi) na ngararimu (mahindi bila 🫘) ya kule kwetu milimani!🤓🤓

Sema waliokula sana maharage & makande shule wasikilizwe, wanaweza kuwa na hoja ya msingi!😁
Wana hoja gani? Wanafananisha na kande za shule ambazo zilikuwa haziungwi🤣

Ya milimani nishakula
Ya nazi + karangq nakula
Ya mahindi mabichi mazima mazima nakula
Yan😂😂
 
Ndio nalog in hapa
Hata bado sijala 😋
Ugali mdogo, ila tutashibia mboga
Eti tutashiba mboga!😆😆😆

Tuongezea na viazi basi...
20230526_202355.jpg
 
Back
Top Bottom