robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 539
- 1,532
[emoji426]
Nimekuja mazima 😂Naomba tu urudi kule ulipokua umejificha we dada[emoji28]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuja mazima [emoji23]
Babeee mie cjaonaa jomoneee, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji426]View attachment 2634811
Nipo sana
don't worry my babe girl. I will send it to you privately [emoji2]Babeee mie cjaonaa jomoneee, [emoji24][emoji24][emoji24]
HujamboNipo sana
Hebu tupia kapicha kengine.
Haya sasa ufanye kunitumia na bundle ili picha ifunguke vizuri.don't worry my babe girl. I will send it to you privately [emoji2]
Portion ya watu wa daslam hii saafi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UhakikaHaya sasa ufanye kunitumia na bundle ili picha ifunguke vizuri.
I'm waitingUhakika
NyooooNipo sana
Hebu tupia kapicha kengine.
Sibishi!!!🙃 Halafu wali ulikua wa nazi.🙂Raha ya msosi mboga ziwe nyingi
Nimekula Kwa macho na kimoyo Moyo.[emoji16][emoji16]
Ume-enjoy???
Wali nazi ndo mpango mzima 😋Sibishi!!!🙃 Halafu wali ulikua wa nazi.🙂
Hmmm...sio kweli!! Mbona mboga nyingije ni za bei rahisi sana.pesa ina mchango mkubwa kwenye mboga kua nyingi😂 usiongee kirahisi rahisi
kwa watanzania wanaoishi chini ya $1 kwa siku inakua ngumu kidogo....Hmmm...sio kweli!! Mbona mboga nyingije ni za bei rahisi sana.
Unapenda sana???Mi naonaga kawaida 🙊Wali nazi ndo mpango mzima 😋
Leo ndondo hukitia nazi nini? 😅