Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,789
- 113,334
Nice classmate hali hiyo ikuepuke jumlathank you nimepoa
Nice classmate hali hiyo ikuepuke jumlathank you nimepoa
Duuuh stress za life hadi suicide?? Poleeeeehstress za maisha dear
God jamaniUliponaje lile tukio?
I appreciate that very much!!😁Ooh, dear Lizzy! Commies are thuggish and diabolical....But, since you were watching something else, I'll just relegate my opinion to ice...
yeah ngumu sanaDuuuh stress za life hadi suicide?? Poleeeeeh
You are making mountain out of hills. It was no joke no did I mean it in any bad way. Never fought or annoyed you since I have known you. Anyway sawa tumalize na umeeleweka. .I dont do jokes
just get it straight
i was puzzled to read that from you !!,
ndo maana sizunguki thread nyingine nabaki hapa selfika , nataka clear air .
nilipigwa zongo sijuiNice classmate hali hiyo ikuepuke jumla
Usishangae Coca! Depression is a serious matter. Ni vile tu huku kwetu bado hatutaki kui-acknowledge na kuipa uzito iliyonao.Duuuh stress za life hadi suicide?? Poleeeeeh
Duh this is funnyYou are making mountain out of hills. It was no joke no did I mean it in any bad way. Never fought or annoyed you since I have known you. Anyway sawa tumalize na umeeleweka. .
haha dah huyu jamaa kuwa makini nae hana nyumba yeyote😀Kwa hiyo na wewe hapa mjini ni baba mwenye nyumba? 😅
😀 chanika chanukah huko kuna sehemu panaitwa kwa Singa. Ni mbali kidogo. .🤣🤣🤣 basi atakuwa anenda kulima mashamba ya mihogo Kongowe
Inawezekana Ila lilipita likakuimarisha.nilipigwa zongo sijui
haitorudi kamwe IJN
Thank youInawezekana Ila lilipita likakuimarisha.
Amen na iwe hivyo.
Asante kwa mama alikuwa karibu kukuokoa la sivyo leo tusingemjua TinsleyGod jamani
ilikuwa almost , my mama alininiokoa .
infact i survived nilipo kuwa mdogo kudumbukia kwa freezer
Eti ananiambia alinunua kiwanja makaburini alipojenga hiyo nyumba!😅haha dah huyu jamaa kuwa makini nae hana nyumba yeyote😀
Mwachiluwi kwa nini unamdangany Mzee wa kupambania?
Au Chanika Mvuti mtaa wa Kiboga huko 😅😀 chanika chanukah huko kuna sehemu panaitwa kwa Singa. Ni mbali kidogo. .
Yeah Amen to thatAsante kwa mama alikuwa karibu kukuokoa la sivyo leo tusingemjua Tinsley
Jamani ulikuwa katundu nini utotoni? ilikuwaje hiyo freezer 🤭
dah aisee huyu ni muongo sana.Eti ananiambia alinunua kiwanja makaburini alipojenga hiyo nyumba!😅
Siwezi nunua eneo upande huo sio wa kibiashara kabisa. Ila watu wa kusini wananunua sana mkuranga huko na chanika😀Au Chanika Mvuti mtaa wa Kiboga huko 😅
Polee 🙊 ulikuwa na umri wa miaka mingapi? Nani walikuja kukuokoa?Yeah Amen to that
ya freezer ilikuwa usiku nasikia kiu naambia ndugu zangu nataka maji ya baridi wao wako nje wanapiga stori .
nikiingia ndani kwa freezer , ile nachukua maji kwa freezer nadumbukia hadi ndani .