Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Hawana hata shida wakomunisti watu.😏Aaah, hao wakomunisti huwa siwaelewi kabisa
Sema I was watching a documentary, na wametumia footage kidogo tu za CCTV.
Hawana hata shida wakomunisti watu.😏Aaah, hao wakomunisti huwa siwaelewi kabisa
Tafuta hela wee masaki viwanja vipoSinza viwanja vinapatikana wapi? Kweli wewe muongo wewe ni wa mkoa wa Pwani. Ndio maana una mambo ya kiswahili utakuwa Mndengereko wa Mwanalumango wewe 🤣🤣🤣
Nenda shule ya msingi tandaleHapana nataka binti mbichi under 20
U r welcome. Maisha matamu sana chezea kiporo cha ubwabwa maharage na chai asubuhi wewee 😋😋😅Thank you so much , maisha matamu sana , wakati huo nipo kashamba hata sijui utamu wa penzi 😂😂😂😂 .
I am not trying to be offensive dear. I am just saying umefungiwa Jf unagombana na watu😀sina matukio yoyote
i think this is offensive gily
Hahahaa Sinza sehemu gani ulinunua kiwanja?Tafuta hela wee masaki viwanja vipo
sijui nimekukosea nnI am not trying to be offensive dear. I am just saying umefungiwa Jf unagombana na watu😀
why would it be offensive? 😕
MakaburiniHahahaa Sinza sehemu gani ulinunua kiwanja?
Sitak wacheza singeliNenda shule ya msingi tandale
yani napost utumbo and you like chai au maandazi au chapati then unalia na mtori😀sijui nimekukosea nn
nimeulila mtori ndo nn ???
didnt expect this from you
Sehemu gani pale? Maana pote napajuaMakaburini
Pole mamy 😥Mda kidogo wakati nipo shule
nilikuwa naumwa sana na nilikuwa sielewi hii dunia .
mara ya pili baada ya mama kuondoka , i felt empty , nikawa na shida fulani ikaniongezea masikitiko .
nina moyo wa ajabu , unawahi kuumia sana mtu chake .
Mbona wapo wazungu wenzioSitak wacheza singeli
haha like I care 😀bro unafeli sasa 😂
Nipo jirani na martin kadindaSehemu gani pale? Maana pote napajua
ngoja nikuache ntakutafuta kesho hangover ikiisha 😂haha like I care 😀
sijapenda ksbisa this is bullshityani napost utumbo and you like chai au maandazi au chapati then unalia na mtori😀
I meant I was posting chai..darn it girl yiu ain't funny no more😩😔😔
Daaaah! 😳Nipo jirani na martin kadinda
hahaha noma sanaU r welcome. Maisha matamu sana chezea kiporo cha ubwabwa maharage na chai asubuhi wewee 😋😋😅