Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
πππππππππππ kitambi kwani kinawasha? Kwanini ukiogope
Naogopa kuwa kama kamtungi ka gas!!π«£π«£ Ntashindwa kufurahia hugs na kuvaa crops! π
πππππππππππ kitambi kwani kinawasha? Kwanini ukiogope
ni Mungu tukweli umepita mapito..... how did you bounce back??
hii hua naiskia sana kwa watu ila sijawahi kuiamini mpaka saivi unavoniambia....kujinenea mema
wengine hata sio mental issues ni spirit zinatumwa kuwapa hayohii hua naiskia sana kwa watu ila sijawahi kuiamini mpaka saivi unavoniambia....
afu nahisi haya mambo ya mental health yanasumbua zaidi vijana....wengine hata sio mental issues ni spirit zinatumwa kuwapa hayo
mawazo machafu . we should pray at all times
ilibidi nibadilike toka kuwa character yangu ya upole ulitukuka hadi sasa nilivyo .. nisiruhusu mtu yoyote kunibully in any form .
Yeah kweli , suicidal rates kubwa ni youth eeh , hawa ndo victims wa kubwa .afu nahisi haya mambo ya mental health yanasumbua zaidi vijana....
Tumetekwa ase
Nimetekwa na Half american na mpwa wake mshamba_hachekwi kisa nipeta lakinnneUtekwe na nani kijana mdogo?[emoji28]
ndo maana sitaki watotoπ dunia ina mambo mengi ya kutishaYeah kweli , suicidal rates kubwa ni youth eeh , hawa ndo victims wa kubwa .
nikawa nagoogle njia za suicide , nilichoka sana .
laki 4 nayo hela??Nimetekwa na Half american na mpwa wake mshamba_hachekwi kisa nipeta lakinnne
Mbona mmeniteka amtaki kuniachialaki 4 nayo hela??
Oya kipo sokoni? Huwa navipenda sana vikiwa kitten. Ila wanasema paka haishi kwa msela π
tunataka tukuhamishe uache kukaa kwa shemejiMbona mmeniteka amtaki kuniachia
Acha nishibe kwaza bas mbona unanisimanga sana Gily shem wananifukuza et nitoke kwa shemejitunataka tukuhamishe uache kukaa kwa shemeji
siku ukimpa demu mimba , unatoa ???ndo maana sitaki watotoπ dunia ina mambo mengi ya kutisha
Dearest hawa madogo wako kwenye kataa ndoa. Wahuni sana alafu bado mi teenegersπ€£ akimpa demu mimba baba yake azaleasiku ukimpa demu mimba , unatoa ???
nina protocol zangu zinazoniepushia mimba kwa wadadaπ ila nikiteleza nitakubali tusiku ukimpa demu mimba , unatoa ???
Ahahaha kwashemeji kuna choo ndani ya chumba changuhaha hapa leo hakikisha unakaa karibu na choo maana utatoa urojo mmoja wa moto Sio kwa kula mapapaiπ€£