Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,901
Sijakuelewa unamaanisha uliwahi kujaribu suicidalyeah bora hii
nyingine sio kabisa
nilitaka kufanya hii pia
Sijakuelewa unamaanisha uliwahi kujaribu suicidalyeah bora hii
nyingine sio kabisa
nilitaka kufanya hii pia
Niny mnaroho mbaya😎 Laki nne si pesa ya kuteka mtu
waelekezeni tu wakiwa vijana wasije lalamika baadaehata ukiwaelekeza ni bure kabisa. Hawa sio waelewa kabisa .
kwanza wanafunzi wanatakiwa wasome haya mambo ya ndoa bado sana😀
Hepena nimekwambia nipo single Gily amefika home muulize🤣🤣🤣 mbona unajitetea sana au umekuta mboga imeisha?
Nimefeli sana??😯😯Katika mambo yoote, wewe Lizzy umeamua kweli kuangalia CCTV News 😂😂😂
mbona kama unapend mabishano yasiyo ya kijinga. Afafanue maelekez yako 😀Ila wewe mwamba bwana! Huyo Tinsley ndiyo minion wako ?
Hapana , huna roho ngumu kabisaTinsley naomba unifafanulie hapa😀
maana katika watu wanaonifahamu nje ya JF wewe ni mmoja wapo na miaka mitatu sasa hebu fafanua nina roho ngumu?
haha 😀 bangi hazijawah mwacha mtu salamaIla wewe mwamba bwana! Huyo Tinsley ndiyo minion wako ?
Hahaha haya bana mara ya mwisho ulisema unaishi kwa wazazi ila sio kesi gonga wali tuje tupige mastori ya townHepena nimekwambia nipo single Gily amefika home muulize
Yes i didSijakuelewa unamaanisha uliwahi kujaribu suicidal
Aaah, hao wakomunisti huwa siwaelewi kabisaNimefeli sana??😯😯
Polee. Shida ilikuwa nini jamani? 😔Yes i did
Duh! Ikawaje na ilikuaje kuaje ?Yes i did
mbona kama unapend mabishano yasiyo ya kijinga. Afafanue maelekez yako 😀
Eeeh, Bangi tena ?haha 😀 bangi hazijawah mwacha mtu salama
oya mshamba_hachekwi huyu jamaa sio ye34nbe kweli?
there are so many things you have to get right to be a parentNavyopenda watoto duh nakushangaaaa
basi tu