Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,901
Hao si wanapenda masalia ya misosi na mimi geto sipiki 😅paka mbona unaishi nae vizuri tu
Hao si wanapenda masalia ya misosi na mimi geto sipiki 😅paka mbona unaishi nae vizuri tu
Duuuh pole sanaStress za life? Mie niliwahi taka kujiua ila kwangu issues ilikua Jambo lisiyofaa, haihusu life, yaan ugumu wa maisha had suicide? Duuuh
uwe unamnunulia KFC unampelekeaHao si wanapenda masalia ya misosi na mimi geto sipiki 😅
Nipo kwenye tower, ukizoom unaniona#sunrise 🌅
View attachment 2633935
Njemaaatupo dear
habari
Et kupoteza mudatoka umpigie simu wife ukanza kuniharibia nasubiri siku nikuharibie. Walah wabilah iko siku tu 😀
Morng mbona utakuwa mchaga
Ooh poleNjemaaa
Goodmorning
Niliona kimyaaa nikaahirisha kudondosha pichaaa🤭😅
Mawazo tu kaka yanafanya niamke nazoMorng mbona utakuwa mchaga
Nkamu leo umewahi sanaView attachment 2634044
Tusisahau kula jamani
Mawazo tu rafiki anguMbona ni mapema sn jamani au ndiyo tutafute hela muda wa kunywa ni wowote[emoji23]