Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,058
Nimetingwa kusahisha hapaa njoo unisaidie tumalize haraka kwanzaa tukimaliza ndo nakubless 😁😁Nimemic shape lako la kuvunia chaga dogo selfika bathi
Nimetingwa kusahisha hapaa njoo unisaidie tumalize haraka kwanzaa tukimaliza ndo nakubless 😁😁Nimemic shape lako la kuvunia chaga dogo selfika bathi
Nimetingwa kusahisha hapaa njoo unisaidie tumalize haraka kwanzaa tukimaliza ndo nakubless [emoji16][emoji16]
Twende tukaogeleeNomaa nusu na robo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
acha maneno mengi, shusha cv ndio ushawishi huon😅😅😅
Twende tukaogelee
😂😂😂😂😁Hongera mm hata sijaanza 😀😀
Najua ipoo hapo, ila niliuliza km had PCB, PCM washamaliza na kuondokaaa.
Saivi kombi zote washamalizaaNajua ipoo hapo, ila niliuliza km had PCB, PCM washamaliza na kuondokaaa.
Yani wa sikuhizi hawaenjoy utoto wao kama tulivoenjoy sisiWaache kukaa sebuleni kutazama series, mda wa kuimba huo wanatoa wapi?
Hata kijijini hawako na hayo mambo kabisa.
Njoo kibozone tunywe biaNa mm nije
Nimepita muda si mrefu hapo.Njoo kibozone tunywe bia
Karibu tenaNimepita muda si mrefu hapo.
Miss Liverpool. Ulionana na Captain
😋 ngoja niendelee kutunisha kibunda tu#sunkissed
View attachment 2632386
Lijendari hii kazi haipo kwenye CV yako bana! 😎Kwani Mimi sio mtu? Halafu ni Mwana JF mwenzako tena ni Lijendari mwenzangu
Nitumie hizo kidogo kwanza!!😉😋 ngoja niendelee kutunisha kibunda tu
Nataka nijisugue miguu yangu hapaLijendari hii kazi haipo kwenye CV yako bana! 😎
Njoo kibozone tunywe bia
Tukutane Mwenge!🙂Nataka nijisugue miguu yangu hapa