raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,821
- 36,798
Mi naona anazidi kuwaka tu 😄Balaaa
Ila sasa maua anayoweka yanamharibu sura, timshawishi aondoe
Mi naona anazidi kuwaka tu 😄Balaaa
Ila sasa maua anayoweka yanamharibu sura, timshawishi aondoe
Mimi namshuri Dr Lizzy asiweke maua usomi yatamabishia sura kuharibika na leta muwasho na vipeleMi naona anazidi kuwaka tu 😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi namshuri Dr Lizzy asiweke maua usomi yatamabishia sura kuharibika na leta muwasho na vipele
Achana naye Dr
Kwa haya maelezo naona utamshawishi 😄Mimi namshuri Dr Lizzy asiweke maua usomi yatamabishia sura kuharibika na leta muwasho na vipele
Wale wadau walioingia IT room kusuka kakitu ka kuondoa maua walikwamia wapi?
Zoezi limeshakamilika, ni hela zenu tu!!😁😁🤑Wale wadau walioingia IT room kusuka kakitu ka kuondoa maua walikwamia wapi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kapata kwa muhindi
Kapata kwa muhindi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera mm hata sijaanza 😀😀Hivi Msukuma umepotelea wapiii kwaniii??? Nimemiss vituko vyako humuuu!!
Ankoli akee Nyumbu pole sana kwa bannnnn ankooo hilo nalo litapitaa tyuuu
Mamaa Mshepuuu wahajaaaa dear hivi mguu uliponaga??? Miss you sana mamalaooo
The jiniazzz shougaaangu a.k.a jembe la majembeeeee njoo unisaidie kumark najua mambo yako hayaaa ni shwaaaaa dakika sifuri pepa zishaishaaaaa!
Mnywani akee nimekumiss hadi naumwaa mimii bila shaka uko vyediii
Madam akee uje kunisaidia kurekodi marks mdogo wangu sio kwa mzigo huu..hapa bado form 3 zinanisubiri doh
Muwe na asubuhi njema
wapendwaaa!!
Good morning ✌️✌️✌️!
Hiyo playlist wimbo namba 4 umenikumbusha kitu faulani... 🤣🤣🤣🤣
Dyadyaa picha sioni hata, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The world is beautiful
Mliishia wapi???🙈🙈Hiyo playlist wimbo namba 4 umenikumbusha kitu faulani... 🤣🤣🤣🤣
Shougaaaa angu kitaa kukiwa kugumu naomba nije nyakimbilimbi kucheza na wakaka wa advance, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Msukuma umepotelea wapiii kwaniii??? Nimemiss vituko vyako humuuu!!
Ankoli akee Nyumbu pole sana kwa bannnnn ankooo hilo nalo litapitaa tyuuu
Mamaa Mshepuuu wahajaaaa dear hivi mguu uliponaga??? Miss you sana mamalaooo
The jiniazzz shougaaangu a.k.a jembe la majembeeeee njoo unisaidie kumark najua mambo yako hayaaa ni shwaaaaa dakika sifuri pepa zishaishaaaaa!
Mnywani akee nimekumiss hadi naumwaa mimii bila shaka uko vyediii
Madam akee uje kunisaidia kurekodi marks mdogo wangu sio kwa mzigo huu..hapa bado form 3 zinanisubiri doh
Muwe na asubuhi njema
wapendwaaa!!
Good morning [emoji3577][emoji3577][emoji3577]!
Waache kukaa sebuleni kutazama series, mda wa kuimba huo wanatoa wapi?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watoto wa sikuhizi bado wanaimbaga hizo nyimbo kweli?
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Nilim dedicate mswazi fulani miaka ya 2003 dah. 🤣 🤣 🤣 🤣Mliishia wapi???🙈🙈
Sensitive People Dream More And Suffer More [emoji171]View attachment 2633126
Bado hujajibu swali...mliishia wapi???🙄Nilim dedicate mswazi fulani miaka ya 2003 dah. 🤣 🤣 🤣 🤣