Ngoja kijaejae ufaidi vizuri 😅 ili iwe maneno kidogo pesa mingimingiNitumie hizo kidogo kwanza!!😉
Pafyumu bwoiiii ngoja nimstuee afu tuelekee huko, tukukute ferry palee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Twende tukaogelee
Duuh hao hawatanikutaaa, mie nitakua nisha sepaa mtaani. Wajiandae kwenda JKT wakaoge kwa matopeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saivi kombi zote washamalizaa
Kabisaaa yaan dear.Yani wa sikuhizi hawaenjoy utoto wao kama tulivoenjoy sisi
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Nilipita janaa jioni, nilikua natokea segerea kwenda mbezi.. Huyo njia kuanzia jioni ina foleni kidogo.Njoo kibozone tunywe bia
Apulize perfume za kutoshaPafyumu bwoiiii ngoja nimstuee afu tuelekee huko, tukukute ferry palee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hainaga foleniNilipita janaa jioni, nilikua natokea segerea kwenda mbezi.. Huyo njia kuanzia jioni ina foleni kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umependeza kuliko x wangu
Jaman natamani ningekuwa huo ukuta [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaman mm bia sinywi
Ratiba yetu ya dinner ipo palepalee[emoji23]Miss Liverpool. Ulionana na Captain
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mie ntakufa niko hoi, janaa nimetulia na pafyumu bwoiii wee tumeagana tyuuh, nkachukuana na Genius panda zetu bajaj hao segereaa, tumezururaa wee huko tukarudi tukapita njia ya kinyerezi kutokea mbezi.Apulize perfume za kutosha
Majini ya hela lazima yapite kuwasalimia hapo feri[emoji23]
Na pale pana foleni, afu pia mbezi huku kuanzia round about ya msigani, napo pana jam.Hainaga foleni
Foleni ipo tu pale segerea stand .
Gari ikishatoka tu basi.
Pande hizo mpaka tumoro nipo Town mpaka mida ya usiku 🌃 mwingiTukutane Mwenge!🙂
Ko mkajizungusha segerea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mie ntakufa niko hoi, janaa nimetulia na pafyumu bwoiii wee tumeagana tyuuh, nkachukuana na Genius panda zetu bajaj hao segereaa, tumezururaa wee huko tukarudi tukapita njia ya kinyerezi kutokea mbezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majini ya hela yako ferry kwan?
Mbezi kueleeka stand panakuwa na foleni sana.Na pale pana foleni, afu pia mbezi huku kuanzia round about ya msigani, napo pana jam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijafika ferry mda, nifanye j2 nitembelee huko.Ko mkajizungusha segerea
Mtafika Akhera mkiwa hoi [emoji1787]
Sasa Feri zi na mnazama baharini pale kupiga stori mbili tatu na majini
Haswaa yaan.Mbezi kueleeka stand panakuwa na foleni sana.
Watu wanapakilia njiani.