Ni documentary ya Waitaliano.Naona wachina wanamkumbuka mzee wa taifa
PA niko hapa!Nina PM kama 100 sijajibu,wote wanataka free internet trick.. next time nikiandaa mazingira ntakucheki.
Certificate ndio namalizia ili niingie diplomabach au....
mbona kama unaninafkia😂Certificate ndio namalizia ili niingie diploma
😗😘#sunkissed
View attachment 2632386
ngoja aje 😂Muulize Depal anafahamu hadi nachosoma
sasa mbona ananiita mtoto jamani 😂Certificate ya hotelia
Lazima tuzame pori tukafanye kazi huko
😂😂 si we uko pre unity?sasa mbona ananiita mtoto jamani 😂
Haina shida, Ngoja niandae mazingira.Na mimiii 😂😂😂
Hao waliokuja kimya kimya usiwape kwanza kwanza
niko dip mwaka wa 2 Lenie hunitendei haki umeniacha na vidonda 😂😂😂 si we uko pre unity?
Nakuona😁.PA niko hapa!
Elimu ya uzeeni, mtaani pagumu totoosasa mbona ananiita mtoto jamani 😂
usiwaze mama yatapita tu....Elimu ya uzeeni, mtaani pagumu totoo
Asante totoo kunipa moyo 🥰usiwaze mama yatapita tu....