Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,073
Shougaaaa angu kitaa kukiwa kugumu naomba nije nyakimbilimbi kucheza na wakaka wa advance, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwa brush phie na cheme, si nafasi nitapataaa??
Mic u b-day wumani akeee, hivi ni lini vilee??
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]
Hahahaaa... hawa wa mwakahuu wana sura pasono adi sio poaaah ... wee unapenda wakaka wazuriii sio kwa kontena la form 5 tulonaooo saivi... labda tusubirie form 5 wakiripott July!! .
Kabisa shoss akee nafasi ipoo furuuuuuuu karebuuu sanaa!!
Birthday loading kipenziii ..😘😘😘!