Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Mbona sijaona mrudie auntUselfike aunt
Sisi tumeshaselfika sana
Mbona sijaona mrudie auntUselfike aunt
Sisi tumeshaselfika sana
Kweli siku hizi umekua mchuga kabisaNjoo nikuhadithie Dr Lizzy kuhusu kima (nyama ya kusaga.
Ndio nimefika fika enzi hizo Kaskazini 😀
Mgeni mgeni mitaa siijui, kwanza navyoongea tu najulikana nimevamia mkoa.
Kuna sehemu Town- around CCM mkoa walikuwa wanauza chapati nzuri, basi naagiza kwa kumtuma mtu.
Sasa huyo mtu siku akaniambia jaribu kula chapati-kima, utaifurahia.
Kichwani mie si akaja kima kama kima mnyama. 😂😂
Nikamuuliza kima ndio manini hayo? Kima analiwa? Nyie watu wa huku mkoje 😀😃
Akanambia we jaribu, ikiwa mbaya nitalipia.
Deal ikawa ✅
Woi mzigo si unakuja ni kima nyama ya kusaga? Nikashtuka 😂😂 ndio kuniambia kima ni nyama iliyosagwa.
Sasa sielewi ni jina la huku tu au? Dar, Dom & Moro sijawahi lisikia
Alooo 🤣Kweli siku hizi umekua mchuga kabisa
Hadi kwenye maandishi unaandika "Woii"
Natamani nikushudie ukiongea hiyo "Woii"😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Njoo nikuhadithie Dr Lizzy kuhusu kima (nyama ya kusaga.
Ndio nimefika fika enzi hizo Kaskazini 😀
Mgeni mgeni mitaa siijui, kwanza navyoongea tu najulikana nimevamia mkoa.
Kuna sehemu Town- around CCM mkoa walikuwa wanauza chapati nzuri, basi naagiza kwa kumtuma mtu.
Sasa huyo mtu siku akaniambia jaribu kula chapati-kima, utaifurahia.
Kichwani mie si akaja kima kama kima mnyama. 😂😂
Nikamuuliza kima ndio manini hayo? Kima analiwa? Nyie watu wa huku mkoje 😀😃
Akanambia we jaribu, ikiwa mbaya nitalipia.
Deal ikawa ✅
Woi mzigo si unakuja ni kima nyama ya kusaga? Nikashtuka 😂😂 ndio kuniambia kima ni nyama iliyosagwa.
Sasa sielewi ni jina la huku tu au? Dar, Dom & Moro sijawahi lisikia
Tuma chapAlooo 🤣
Nitakutumia VN.
Jamani hadi kichwa hutaki tuone??🥴
Babie gal 😗😘
☺️Babie gal 😗😘
Wewe ndiye uliyenifundisha kufichaJamani hadi kichwa hutaki tuone??🥴
😆😉😗😘☺️
Selfika basi na wewe chap kabla wanakikundi hawajaamka!😉
😄😄😄😄Wewe ndiye uliyenifundisha kuficha
Nilikua nijiweka hapa live bila chenga
Ngoja nione boss mkubwa raraa reree atafanyaje hapa namimi nimuige😄😄😄😄
Lakini nshakwambia usifanye nifanyavyo, fanya nisemavyo!!😏
Nasubiria 🙄🙄😆😉😗😘
Achana na raraa reree mbishi sana. We fuata muongozo wa Dr tu!!🤓Ngoja nione boss mkubwa raraa reree atafanyaje hapa namimi nimuige
Acha habari zako wewe 😄Ngoja nione boss mkubwa raraa reree atafanyaje hapa namimi nimuige
Fanya namna bossAcha habari zako wewe 😄
Daktaree mkareee 🔥🔥🔥🔥🔥Fanya namna boss
Fata maelekezo ya Dr chief
BalaaaDaktaree mkareee 🔥🔥🔥🔥🔥