Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shanga kama shanga hahaha... sijui kwanini nimecheka sana hapo kwenye shanga/ cheni!
Hahaha..........sijui Mjukuu wangu ameandika nini tena hapa, unajua nilimwachia simu yangu akicheza game 😅🏃🏃🏃🏃
 
Nimekumbuka zile cheni ulokua unamtumia mjuu wako humu simkumbuki jina achague babuu😁😁🤠🤠!!
Nahisi hata hiyo comment atakuwa aliandika huyo Mjukuu wangu tu 🤪

Ila miaka yetu ilikuwa raha ujue 🙈🏃🏃
 
Back
Top Bottom