Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,329
Mnafungua Kampuni yenu ya Chakula pamoja, siku tukiwa na Kikao cha Kijiji tunawapa tenda ya kutuandalia Biriani.anifanye shareholder sio🤣
Ila mkiachana tu, Kampuni inafungwa 😅
Mnafungua Kampuni yenu ya Chakula pamoja, siku tukiwa na Kikao cha Kijiji tunawapa tenda ya kutuandalia Biriani.anifanye shareholder sio🤣
Aminaaaaaaaaaaaahhh!! Mbarikiwe sana!😅😅 Kwa niaba ya Wazee wenzangu, tunapokea pongezi zako.
Tunaendelea kutoa ushauri kwenu Vijana na kuongoza kwa mifano bora 🙌
muache aende tu... nijichoshe kutafuta pesa nichakae?? bora sheria mkononi 😂Mnafungua Kampuni yenu ya Chakula pamoja, siku tukiwa na Kikao cha Kijiji tunawapa tenda ya kutuandalia Biriani.
Ila mkiachana tu, Kampuni inafungwa 😅
Awe tu mpole huyo dogo 😂Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali,
Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile 😅🙌
Hayo ndiyo maneno 🤗Awe tu mpole huyo dogo 😂
Hahaha.......wanasema sheria mkononi inafanya misuli kuwa legelegemuache aende tu... nijichoshe kutafuta pesa nichakae?? bora sheria mkononi 😂
🙏🙏🙏🙏Aminaaaaaaaaaaaahhh!! Mbarikiwe sana!
kuna kushindwa kuvumilia mzee wanguHahaha.......wanasema sheria mkononi inafanya misuli kuwa legelege
Mwisho wa siku ukahitaji tuwape dawa zetu za asili wakati tatizo mna create wenyewe 🙌
mkao wa pesa 😂
Pesa wapi Boss wangu, tuko busy na kilimo tu 🤗mkao wa pesa 😂
kwani hamna wakulima mafogo??Pesa wapi Boss wangu, tuko busy na kilimo tu 🤗
Hahahaha................ngoja niwaulize Wakulima wenzangu akina Mzee Pinda 😅kwani hamna wakulima mafogo??
Hivi ushawaahi kula ugali na kambare,ugali bamia?
Kambale sijala muda mrefu sana maana sikutani nao sokoni. Unataka kunipikia??😯Hivi ushawaahi kula ugali na kambare,ugali bamia?
Nakuja na spaghetti
Ukishakunywa sumu utakuwa umemkomoa nani ? Maana utakapokuwa unaenda na pagumu na hupajuiukiskia nimekunywa sumu ndo utafurahi😂
Ulijuaje zimeisha....😆😆😆Nakuja na spaghetti