Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Si ndio, wao wenyewe ndio hua wanaharibu mapema.Hahahaha.................jioni nitakuwa na semina na Vijana, hoja yako lazima tutaijadili kwa kina.
Kumbe ni wao wenyewe ndiyo wanakosea, Point taken 🤝😅😅
Waambie bana wasiwe wanatuspoil sana, sometime watulishe mihogo sio kila siku wine na nyama choma😋