Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
HongeraMjini hapa.
HongeraMjini hapa.
😂😂😂😂af sijari 😂😂 na majungu yenuMwanaume wa Dar katika ubora wako
nipende hivi nilivyo boom nalipia kodi 😅Nijengeeni kwanza sanamu na mnipe maua yangu🥰
Boom la mshamba_hachekwi likitoka hahahaa tutaona itakavyokua 😂
Kodi sio muhimu sana totoonipende hivi nilivyo boom nalipia kodi 😅
Kwa kuwa kazi ya Ujenzi ni shirikishi basi nitatoa gharama zote za Ujenzi alafu kazi ya kusimamia ubora nitamwachia mshamba_hachekwi , akichakachua sementi juu yake 😅😅Nijengeeni kwanza sanamu na mnipe maua yangu🥰
Boom la mshamba_hachekwi likitoka hahahaa tutaona itakavyokua 😂
sitaki ku-bunch na masela vitu mnashare kijinga😂 mihogo yangu nakula mwenyeweKodi sio muhimu sana totoo
Sema kweli😂😂😂😂af sijari 😂😂 na majungu yenu
Nasubiria kuona majibu yake kuhusu hili 😅nipende hivi nilivyo boom nalipia kodi 😅
😂😂😂😂 na usiku napiga show kibabeSema kweli
Na kidhungu kabisa.... Asante kwa kukazia🤠!That's true
Huyo hela ataenda kununulia msosi abadili diet, asipewe tenda😅Kwa kuwa kazi ya Ujenzi ni shirikishi basi nitatoa gharama zote za Ujenzi alafu kazi ya kusimamia ubora nitamwachia mshamba_hachekwi , akichakachua sementi juu yake 😅😅
Tutahitaji evidence ili tujiridhishe, sio kwa msosi huo😅😂😂😂😂 na usiku napiga show kibabe
Kwanza kwanini hajajenga hadi leo?Nasubiria kuona majibu yake kuhusu hili 😅
Itabidi nimwambie mshamba_hachekwi aje arekod ushahid 😂😂Tutahitaji evidence ili tujiridhishe, sio kwa msosi huo😅
nakupenda pia mwaaaa 😂Kwanza kwanini hajajenga hadi leo?
Mambo ya kujibana bana kwenye nyumba za kupanga me sijazoea
Kumbe tupo wengi tunaotembea kwa daladala na amsemi ili tungojeane kituoni vibaya
Shanga kama shanga hahaha... sijui kwanini nimecheka sana hapo kwenye shanga/ cheni!Hahaha...............Hongera kulimaliza 🤗
Vizinga mfululizo, nimesikia vinamaliza nguvu za kiume.
Sisi Wazee, miaka yetu hatukuwa na Vizinga. Sana sana ukienda Gulioni siku ya Mnada, utamnunulia mpenzi wako nguo ya ndani au Shanga kama zawadi 🙈🏃🏃
Umeongea point nzuri sana!Obviously anaefanya hivyo anakua ameona fursa ya kupunguza dhiki zake, nothing more, nothing less.
Sasa we babu ukiingia kwenye mahusiano na mtu wa design hiyo utasema umependwa kweli ama kujisikia raha, knowing zikipungua tu kidogo unaweza ukabwagwa just like that🫰🏾????🙄🙄
I'm not saying hela sio muhimu, ni muhimu tena sana!!! Mchagga mimi naipenda hela 💯, but that's why I work. Mambo yakiwa magumu ntakopa kwa ndugu & marafiki zangu, ikitokea bahati nikapendana na mtu ambae yuko financially secure ntafurahi maana tutaendelea kula bata & kuishi comfortably, lakini siwezi kujiingiza kwenye mahusiano kwasababu ya pesa hata niwe na shida kiasi gani.
Mnavyokubali kutumiwa mkubali maisha ya kutupwa kila mnapokoma kuwa useful!😵🫤
Hata stendi ya Magufuli Mtalala au sio ? 😂😂😂Kodi sio muhimu sana totoo