mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,801
ukiskia nimekunywa sumu ndo utafurahi😂Sasa maisha gani ya kutegemea boom babu, si nitapauka mie na kanikuta nashine
Atanikondesha nguo zangu zianze kunipwaya bure
ukiskia nimekunywa sumu ndo utafurahi😂Sasa maisha gani ya kutegemea boom babu, si nitapauka mie na kanikuta nashine
Atanikondesha nguo zangu zianze kunipwaya bure
Hapo tu ndio hamna ujanjaaa! Nahela zako zoteee 😁😁😁😁🤠🤠🤠🤠! Ndio uwege unakua na wanawake wanaoghughulikaa wanaojituma kuifanya isimame harakaa na ku last longer ka uvosema hapooo azawaizi hutafurahia pesa yakooo😁😁😁😂🤠Umri huu sio rahisi Mjukuu🙌
Unaweza kuta unaomba isimame kuanzia Kimara mwisho lakini inaenda kusimama kituo cha Kwa Ndevu kule Tegeta 🙊🏃🏃🏃
Anaelekea kukuelewa, endelea kumbembeleza tu. Usisahau kumtumia hela ya Bando la Mwezi 1 boom likitokaukiskia nimekunywa sumu ndo utafurahi😂
Hahaha unywe sumu na course work umuachie naniukiskia nimekunywa sumu ndo utafurahi😂
Salama kabisa, unaendeleaje ?kwema boss.... vipi na wewe
vizuri, tunaenda kibishibishiSalama kabisa, unaendeleaje ?
So hapo katikati kabla boom halijatoka nitapata wapi vocha babuAnaelekea kukuelewa, endelea kumbembeleza tu. Usisahau kumtumia hela ya Bando la Mwezi 1 boom likitoka
Hahaha...........Mimi nimebaki kushauri tu Vijana, mambo hayo Wazee hatuyawezi kabisa Mjukuu 😅Hapo tu ndio hamna ujanjaaa! Nahela zako zoteee 😁😁😁😁🤠🤠🤠🤠! Ndio uwege unakua na wanawake wanaoghughulikaa wanaojituma kuifanya isimame harakaa na ku last longer ka uvosema hapooo azawaizi hutafurahia pesa yakooo😁😁😁😂🤠
dah, wacha nikuache uende nakutakia kila heri upate mubaba 😂Hahaha unywe sumu na course work umuachie nani
Kawaida mkuuvizuri, tunaenda kibishibishi
Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi, unazidi kunipa mashakadah, wacha nikuache uende nakutakia kila heri upate mubaba 😂
sasa wewe unanisukuma afu unanivuta tena😅 nifanyeje....Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi, unazidi kunipa mashaka
Safi hioo Wazee ... mna nafasi zenuu zakipekeee sanaHahaha...........Mimi nimebaki kushauri tu Vijana, mambo hayo Wazee hatuyawezi kabisa Mjukuu 😅
Ukikua utaelewa totoo, we bado mdogosasa wewe unanisukuma afu unanivuta tena😅 nifanyeje....
kwakweli kama ukubwa ndo huu waache wanaume waendelee kujichua na kunywa sumu 😂Ukikua utaelewa totoo, we bado mdogo
😅😅 Kwa niaba ya Wazee wenzangu, tunapokea pongezi zako.Safi hioo Wazee ... mna nafasi zenuu zakipekeee sana
Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali,So hapo katikati kabla boom halijatoka nitapata wapi vocha babu
anifanye shareholder sio🤣Hahahaha...................muelewe Kijana mwenzio Mjukuu, mbona wakina Prof Jay waliwahi kupata Zali la Mentali,
Mfanyie wepesi Dogo awe mmoja wao, manake we mwenyewe ni wa Ushuani vile vile 😅🙌
😅😅Hivohivo tuyaone ankoli banaaa😊
!
Hizo ndevu nyingi sana hadi unashindwa mfanyia vizuri mwali romance ya kidevu ankoli akee nyingi zinadusturb !!
Au ankoli wee team mwamnyeto😁😁🤠!!