Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Obviously anaefanya hivyo anakua ameona fursa ya kupunguza dhiki zake, nothing more, nothing less.

Sasa we babu ukiingia kwenye mahusiano na mtu wa design hiyo utasema umependwa kweli ama kujisikia raha, knowing zikipungua tu kidogo unaweza ukabwagwa just like that🫰🏾????🙄🙄

I'm not saying hela sio muhimu, ni muhimu tena sana!!! Mchagga mimi naipenda hela 💯, but that's why I work. Mambo yakiwa magumu ntakopa kwa ndugu & marafiki zangu, ikitokea bahati nikapendana na mtu ambae yuko financially secure ntafurahi maana tutaendelea kula bata & kuishi comfortably, lakini siwezi kujiingiza kwenye mahusiano kwasababu ya pesa hata niwe na shida kiasi gani.

Mnavyokubali kutumiwa mkubali maisha ya kutupwa kila mnapokoma kuwa useful!😵🫤
Sio Wanawake wote wako na akili kama zako, wengi hata akiwa na kipato chake still atataka mwenye zaidi.

Nimewahi kushuhudia hili kwenye ndoa 4, sio Mahusiano. Yaani ndoa kabisa

Mwanamke ana kipato chake, lakini majukumu yote ya ndani ni ya Mwanaume. Na ikitokea Mwanaume ameishiwa kabisa, basi Atakopeshwa na mkewe then Mwisho wa Mwezi atarudisha.

Mwanamke wa namna hii, akikutana na Wanaume wenye hela ataendelea kukumbutania Mwanaume Kapuku!

Bahati nzuri, Umri umenitupa Mkono sipo kwenye mahusiano ya hivyo 🤪🙌🏃🏃
 
Saint Anne

Mkaka mnukia pafyumu pambee anakusalimia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu atafanya nkazururee nae venue, sasa naogopa mkaka wa masters atanionaa. Afu itakua jau.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemkumbuka yule dogo wa siku ile
I wish kangekuwa kadogo kangu.

Msalimie sana,
Huyo nikikutana naye kama nilitembea na marashi,namzawadia bure.
 
Deni la bodi ya mkopo🤣🤣🤣😂!!

Umenikumbuka deni lao namaliza mwakahuu hapo kati walii mbona nitasherekeaa!!
laki na 48 sio padogooo!!

Mizinga inawakata stimuuu sana😁😁😄!!
Hahaha...............Hongera kulimaliza 🤗

Vizinga mfululizo, nimesikia vinamaliza nguvu za kiume.

Sisi Wazee, miaka yetu hatukuwa na Vizinga. Sana sana ukienda Gulioni siku ya Mnada, utamnunulia mpenzi wako nguo ya ndani au Shanga kama zawadi 🙈🏃🏃
 
Kufaidika lazima, hilo halipingiki hata kidogo. Issue ni faida gani mtu anayoangalia....😏
Kila mtu anaingia kwenye mahusiano akijua kuna kitu atapata in return for what she/he gives.

Tabu inaanza ukidondokea kwa wale users & takers. Mwanamke/mwanaume anaetegemea wewe umtatulie matatizo yake ya kifedha wakati yeye hata siku moja hawezi kukusaidia wewe hata kwa nusu ya unayomsaidia wewe, na ambae ukitetereka kidogo anakukimbia wa nini sasa??

Labda muwe na mkataba wa kibiashara na sio mdanganyane mpo kwenye mahusiano ya kimapenzi.
😅😅 banaa wewe acha tuishi tu, ya walimwengu ni mengi sana.. sema kuna wanawake wana mizingaa ukipwa hadi kichwa kinawasha.. unasikia baby nipangishie masaki mie sipendi mafujo alafu ninunulie gari ya kazini hii nimeishoka.. hiyo kodi ya masaki sasa .. mpewe tuzo kwakweli
 
Kuna Kijana humu, alianzisha Uzi akisema katika Wanawake 5 aliowaomba mahusiano 4 kati yao walimuomba fedha wakisema Kodi na gesi vyote viliisha siku 1.

Hivyo kupelekea yule Kijana kushindwa kupata mwenza hadi leo.

Mnaweza kuwa na mtazamo tofauti kuhusu pesa, ila ni ukweli ulio wazi tu kama Mwanaume hauna hela unaweza kuwa single hadi Unazeeka 🙌
Nakazia hiyo statement ya mwisho
 
Nimemkumbuka yule dogo wa siku ile
I wish kangekuwa kadogo kangu.

Msalimie sana,
Huyo nikikutana naye kama nilitembea na marashi,namzawadia bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka ananukiaa pambeee huyuu, nimemuuliza anatumia product ipi, kakataa kunitajia ila kasema atanijia na pafyumu enyewee nione live.

Woiiiiiiih kasema bei imechangamka kdogo.
Kesho ntamsalimia maana tumeachana sio mda, yeye karudi zake home.
 
Sio Wanawake wote wako na akili kama zako, wengi hata akiwa na kipato chake still atataka mwenye zaidi.

Nimewahi kushuhudia hili kwenye ndoa 4, sio Mahusiano. Yaani ndoa kabisa

Mwanamke ana kipato chake, lakini majukumu yote ya ndani ni ya Mwanaume. Na ikitokea Mwanaume ameishiwa kabisa, basi Atakopeshwa na mkewe then Mwisho wa Mwezi atarudisha.

Mwanamke wa namna hii, akikutana na Wanaume wenye hela ataendelea kukumbutania Mwanaume Kapuku!

Bahati nzuri, Umri umenitupa Mkono sipo kwenye mahusiano ya hivyo 🤪🙌🏃🏃
It's really sad, ila ndio jamii tunayoitengeneza sisi wenyewe kwahiyo tuendelee kufurahia matokeo yake I guess! Ngoja niendelee kumfundisha dogo kuepuka "marafiki" wanaopenda kwa msimu baadae asipate shida.

Na wewe baki zako na bibi usije huku kwa vijana wenye stress na maajabu tele!!!😶‍🌫️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka ananukiaa pambeee huyuu, nimemuuliza anatumia product ipi, kakataa kunitajia ila kasema atanijia na pafyumu enyewee nione live.

Woiiiiiiih kasema bei imechangamka kdogo.
Kesho ntamsalimia maana tumeachana sio mda, yeye karudi zake home.
Wacha weee Cocah huyoooh
Kwa niaba ya wapenda perfume Usituangushe sasa😁
 
😅😅 banaa wewe acha tuishi tu, ya walimwengu ni mengi sana.. sema kuna wanawake wana mizingaa ukipwa hadi kichwa kinawasha.. unasikia baby nipangishie masaki mie sipendi mafujo alafu ninunulie gari ya kazini hii nimeishoka.. hiyo kodi ya masaki sasa .. mpewe tuzo kwakweli
🤣🤣🤣

Nimepokea kwa niaba 🏆🙂
 
Mie mwenyewe nilipata mchepuko, si ukaniambia ili uzae na mie niujengeee nyumba, nilitaka kuchanganya damu na kuacha chata maana niliielewa sana sana damu yake na ukoo wake nikasema acha nijilipue tu 😅😅😅.. ila ilipofika hapo pa kujenga nikaona hii kesi nzito sanaaaa sijawa fisadi bado
Hahaha.......................ukipiga mahesabu wewe mwenyewe bado hujajenga, kwa kweli ni maumivu 🙆

Hiyo kuchanganya Damu muhimu sana, akija kukuzalia kabinti hivi karembo kama Mama yake inakuwa poa sana, kule Kijijini kwetu huyo binti unakuja kumposa kwa ng'ombe 70 au 100🏃🏃🏃
 
Wacha weee Cocah huyoooh
Kwa niaba ya wapenda perfume Usituangushe sasa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada mbna nusu nianze kujilipuaaa?? Kwanza nkaamua kumkimbia kusudi ili mambo yasiwe mengi.

Maana kuna ka kitu kwa nafsi kalikua kanashawishi niseme nae visivyohusikaaa, Akili ikastukaa nkajiepushaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuuu knoww!!!
 
Tulia,atakuanza mwenyewe akishaleta live perfume.
 
Hahaha.......................ukipiga mahesabu wewe mwenyewe bado hujajenga, kwa kweli ni maumivu 🙆

Hiyo kuchanganya Damu muhimu sana, akija kukuzalia kabinti hivi karembo kama Mama yake inakuwa poa sana, kule Kijijini kwetu huyo binti unakuja kumposa kwa ng'ombe 70 au 100🏃🏃🏃
wanatutesa sana kisaikolojia 😅😅 hayo mengine ni matusi wanatutukana
 
It's really sad, ila ndio jamii tunayoitengeneza sisi wenyewe kwahiyo tuendelee kufurahia matokeo yake I guess! Ngoja niendelee kumfundisha dogo kuepuka "marafiki" wanaopenda kwa msimu baadae asipate shida.

Na wewe baki zako na bibi usije huku kwa vijana wenye stress na maajabu tele!!!😶‍🌫️
Kwa kweli Mkuu, ila inafanya kuwe na ugumu kuweza kujua napendwa kweli au amependa hizi mia 2 mbili zangu 🙌

Vijana wamejaa stress za kufa mtu na kwa huu umri wangu wa Uzee presha haichelewi kupanda.

Useme kwa Vijana tunachomisi ni utundu wao tu, kuna mabinti utasema walipata 'A' somo la Biology vile wanajua kucheza na mwili wako.

Isingekuwa Mwenyekiti wa Kijiji kunikatalia kuwa shahidi ilibaki kidogo tu nimpe yule Binti shamba langu la ekari 30 liwe lake 🤪🏃🏃🏃🏃
 
Unajiuliza mbona huyu Kaka hajaoa hadi umri huu, kumbe mwenzenu alikosa hela hivyo hana budi kubaki single again kama Harmonize 😅🏃🏃🏃
Sema vijana wengi kinachowacost ni kushindwa kujiamini na kupenda pisi kali zenye gharama aka wadada wa mjini. Hapo lazima waisome namba
 
Back
Top Bottom