Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,329
Hahaha............😅wanatutesa sana kisaikolojia 😅😅 hayo mengine ni matusi wanatutukana
Hahaha............😅wanatutesa sana kisaikolojia 😅😅 hayo mengine ni matusi wanatutukana
Kwa kweli nitulizanee tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia,atakuanza mwenyewe akishaleta live perfume.
Ahahhahaha babu kwani nibi akutoshiKwa kweli Mkuu, ila inafanya kuwe na ugumu kuweza kujua napendwa kweli au amependa hizi mia 2 mbili zangu 🙌
Vijana wamejaa stress za kufa mtu na kwa huu umri wangu wa Uzee presha haichelewi kupanda.
Useme kwa Vijana tunachomisi ni utundu wao tu, kuna mabinti utasema walipata 'A' somo la Biology vile wanajua kucheza na mwili wako.
Isingekuwa Mwenyekiti wa Kijiji kunikatalia kuwa shahidi ilibaki kidogo tu nimpe yule Binti shamba langu la ekari 30 liwe lake 🤪🏃🏃🏃🏃
Wanaomba mambo makubwa sana, kiasi kwamba hata Mungu wane muomba hawajibu, wanahamishia dose kwetu 😅😅😅Hahaha............😅
Hahaha................hiyo kujiamini ilikuwa Enzi ya Zali la Mentali, siku hizi kupata salamu ya Mwanamke mzuri lazima unukie vizuri na uning'inize funguo za baiskeli 🤪Sema vijana wengi kinachowacost ni kushindwa kujiamini na kupenda pisi kali zenye gharama aka wadada wa mjini. Hapo lazima waisome namba
Mahitaji yote kwako Mzee 😅Wanaomba mambo makubwa sana, kiasi kwamba hata Mungu wane muomba hawajibu, wanahamishia dose kwetu 😅😅😅
😂😂😂😂Kwa kweli nitulizanee tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kabisa mkuuNa unataka ku drop out chuo?
Yapo kibao aisee kuna moja ni royal family kabisa linalotaka lakini sikubali hoi tabia kabisa . Acha nijipambanie mwenyewe tu maana Kijana unatakiwa uwe na uhuru. Sio kubanwa banwa na kuchungwa kama Kukumashangazi hayakamitiki skuizi😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaa kweliiii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enda taratibu
Unajua hili JF ni zaidi ya chuo kikuu sema basi tu watu huwa tuna stick na jukwaa moja tu. Asilimia kubwa ya mipango yangu nimeipata humu humukabisa mkuu
Mbona sisi wengine hatuna gharama, tunaangalia upendo tu na attention yenu kwetu.Hahaha................hiyo kujiamini ilikuwa Enzi ya Zali la Mentali, siku hizi kupata salamu ya Mwanamke mzuri lazima unukie vizuri na uning'inize funguo za baiskeli 🤪
Ukikutana na sisi Wakulima tunanukia jasho tu la shambani hata confidence ya shake hands 🤝 inapotea 🏃🏃
Niliwasikia Vijana wanaongea kwenye kijiwe chetu cha kucheza bao.Ahahhahaha babu kwani nibi akutoshi
Hahahaha.................jioni nitakuwa na semina na Vijana, hoja yako lazima tutaijadili kwa kina.Mbona sisi wengine hatuna gharama, tunaangalia upendo tu na attention yenu kwetu.
Ila nyie mnatanguliza hela, hapo sasa mnafanya tupende hela zenu kabla ya kuwapenda ninyi... yaani mnatukonfyuziiii hamjui tu😅
SawasawaEm tuone na sie tutoe maoni yetu😂
Kapicha kidogo..Mtu wa 3 huyu ananambia dogo nazingua na haka katumbo 🤣🤣
Lenie 🥹🥹🤭 aibuu