Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,374
Mkuu za asubuhi. Umeshasepa mbozi?Tushamvua vyeo huyo achana naye
Mkuu za asubuhi. Umeshasepa mbozi?Tushamvua vyeo huyo achana naye
Mambo kaka
Mwambie aje kusalimia mwenyeweYuko poa, anakusalimia sana shem darling wake
Mtoto softiiiii 🥰😍Karibu kwenye chama cha kunap 😆😆
View attachment 2630920
Kwani siku imeshaanza rasmi?? Mi ndo naingia ROUND II sasa! 💤
kisa nnMabaya
We are Cityzens 💪[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] citizen inanipaa rahaaa, afu bado FA tutachukua kwa manyumbuu, na UEFA yetu tutaichukua kwa Air Milan,
Tukutane Istanbul, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lol pole sana mjombaaa oparie naimanya vizuri mnooo!! Mungu amsaidie mgore kidonda kisimsumbue kipone haraka IJN!shangazi.. nina zalisha maziwaa hadi upite miezi sita ndio nifumani goli unajua surgery 😅😅😅.... kuku wa soup ya karangaaa ni mnono alafu anaongezaa vituuView attachment 2630553
Aahahhh ukitoka job uje nyumbaniMwachiluwi najua zile ndizi hazikuisha, lete tuzipige sie tukaanze kusumbuana na muhindi 😂
mnatesekaga, mtu asipo mjali na kumepnda mke wake hana tofauti na shetani aisee ..Lol pole sana mjombaaa oparie naimanya vizuri mnooo!! Mungu amsaidie mgore kidonda kisimsumbue kipone haraka IJN!
Wee mjomba hapo pembeni hizo ni ndizi ama ninii🤔🤔🤔??? zimekaa kama Peniss lol🤭!
I hope ulienjoy mjomba!!
Yanii oparie isikie tu kwa jirani wanasema ni nusu kufa!! Mungu atusaidie wanawake !!mnatesekaga, mtu asipo mjali na kumepnda mke wake hana tofauti na shetani aisee ..
vitoto vya pniss hivyo 🤣🤣🤣 naongeza mavitu tu 😅😅
khakhakhaaaa......!Au amekupa kimyakimya coca amenisalit 😂😂
Jamaa kumbe ni kibonge mwepesi🙌
shwaaaaaa kama maji ya kuzima moto pressure yake 😅😅😅😅Yanii oparie isikie tu kwa jirani wanasema ni nusu kufa!! Mungu atusaidie wanawake !!
Hahahaaa... kumbe!! Hapo nimeelewa sasa 😁😂!
Ongeza kwaraha zakoo mjombaa protini kwasana ausio!
jamaa jepesi huwa napenda kuliangalia lipo kama jitu la kaleee kabisaaJamaa kumbe ni kibonge mwepesi🙌
Nilidhani angeanguka kwa presha manake huo mwili unatisha 🤪
Anajitahidi sana, isingekuwa hayo mazoezi anayoyafanya huenda angekuwa na mwili mkubwa kuliko huo 🙌jamaa jepesi huwa napenda kuliangalia lipo kama jitu la kaleee kabisaa
View attachment 2630953
sure na linajipenda na kujikubaliAnajitahidi sana, isingekuwa hayo mazoezi anayoyafanya huenda angekuwa na mwili mkubwa kuliko huo 🙌
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ulificha jerahaa? Wee dear hebu kuwa serious.Sinaga wa kumdekia kabisa , deka tu mama enjoy life ndo hili .
Nashukuru tu Mungu , nilikafich nilipoumia hadi nyumbani kuanza kulia . paliuma duh
thank you