Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni tatizo ambalo wanaume mmelitengeneza wenyewe na linawaumiza wenyewe.

Pesa inaweza kushawishi mtu awe na wewe kimaslahi ila hakuna atakaekupenda sababu ya pesa ,iwe mwanamke au mwanaume.
Kuna Kijana humu, alianzisha Uzi akisema katika Wanawake 5 aliowaomba mahusiano 4 kati yao walimuomba fedha wakisema Kodi na gesi vyote viliisha siku 1.

Hivyo kupelekea yule Kijana kushindwa kupata mwenza hadi leo.

Mnaweza kuwa na mtazamo tofauti kuhusu pesa, ila ni ukweli ulio wazi tu kama Mwanaume hauna hela unaweza kuwa single hadi Unazeeka 🙌
 
nani hayupo kimaslahi ? ndoa yenyewe ipo kimaslahi aisee.. hakuna mtu anataka mtu asie na kitu .. huu ndio u sound wenyewe tunauita 😅😅😅 kama huna kitu hata wewe mwanamke cha kumvuta mwanaume ni tabu na mwanaune asie na kitu cha kukuvuta ni tabu
Maslahi yako wewe unapoingia kwenye mahusiano ni yapi???
 
Kuna Kijana humu, alianzisha Uzi akisema katika Wanawake 5 aliowaomba mahusiano 4 kati yao walimuomba fedha wakisema Kodi na gesi vyote viliisha siku 1.

Hivyo kupelekea yule Kijana kushindwa kupata mwenza hadi leo.

Mnaweza kuwa na mtazamo tofauti kuhusu pesa, ila ni ukweli ulio wazi tu kama Mwanaume hauna hela unaweza kuwa single hadi Unazeeka 🙌
Mwanaume majukumu lakini kizazi hiki kimezidi na vizuri kuomba unanpa muda na mwenzio kufanya majukumu yake mengine sio daily kiukweli inaboa
 
Maslahi yako wewe unapoingia kwenye mahusiano ni yapi???
ni kuhakiiisha mwanamke ni backup pale ambapo inatakiwa kama vile umeme wa tanesco ( mume ) unapo kwenda inabidi power genset ( wife ) liwake.. so kuna vitu nakuwa nimeviona kama havipo hata simsogelei.. lazima kuwa na faida tu na halikwepeki hili, ila kusiwe na overdose
 
Mwanaume majukumu lakini kizazi hiki kimezidi na vizuri kuomba unanpa muda na mwenzio kufanya majukumu yake mengine sio daily kiukweli inaboa
Ni kweli Mjukuu, inafikia wakati Mwanaume akiachana na wewe anaenda kusheherekea kama amemaliza deni la Bodi ya Mikopo 🙌🏃🏃
 
ni kuhakiiisha mwanamke ni backup pale ambapo inatakiwa kama vile umeme wa tanesco ( mume ) unapo kwenda inabidi power genset ( wife ) liwake.. so kuna vitu nakuwa nimeviona kama havipo hata simsogelei.. lazima kuwa na faida tu na halikwepeki hili, ila kusiwe na overdose
Wengine hata haiw overdose ila mpunguze ubahili mtu mbahili tangu kuzaliwa anajifanya mwanamke anapenda Hela kumbe kichaka tu
 
Back
Top Bottom