Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Tuna offer leo, ukiweka full tank
Tuna offer leo, ukiweka full tank
Huyo atakua sio mzee Walai mzee hawako hivo buana!! 😁Itabidi ubonge na babuu Grahams akuunganishie kwa mzee mwenzie 🤠🤠 Au kama yee anaweza kukufanyia wepesi si nilisikia wazee wa zamani walioa wake wengi 🤠🤠🤠😂😂!Si ndo hapo na wazee wenzao hawatutaki vilevile😀
Pole aisee ,Sisi wakulima tunapunjwa tu, wenye bei wapishi🤣
Kwenye hiyo Hoja, Wazee mnatuonea bure Mkuu.ah wap mafataki wengi ni wazee
Mboga 7 😋 , naona boom bado linapumua
Halifurahishi, ila mkulima lake jembe.Pole aisee ,
soko halifurahishi
innocent till proven guilty😂 mnapita kimyakimyaKwenye hiyo Hoja, Wazee mnatuonea bure Mkuu.
Waulize Wazee wenzangu akina Mzee Mwinyi, we are so innocent 🤗
Mwinyi huyo kwema🤣🤣Kwenye hiyo Hoja, Wazee mnatuonea bure Mkuu.
Waulize Wazee wenzangu akina Mzee Mwinyi, we are so innocent 🤗
Wanaburuza balaa 😂😂😂innocent till proven guilty😂 mnapita kimyakimya
mbona buku tu hiyo rafki yangu 😅Mboga 7 😋 , naona boom bado linapumua
bonge moja la bahati aisee 😂Kuna Mangi mmoja ali drop out na lile boom akalifanya mtaji mara ya mwisho naona naye maeneo ya Sinza kijiweni. Tayari ana nyumba, Bar , Bodaboda mbili
Hahaha...............Kuwika ni mara moja ikizidi sana mara 3 kama Jogoo wa Petro tu 😁🏃🏃ah wapi babu , umedanganya anawikaje mara moja kwa mwaka .
wazee nyie ndo pisi kali zinawapenda hamna mambo mengi .
kazi kushusha vioo tu kuita vibinti....Wanaburuza balaa 😂😂😂
Ndiyo rika langu lile, umetuona tusivyo na mambo mengi 😁Mwinyi huyo kwema🤣🤣
Na mapengo Yao🤣🤣🤣ila kudate na mzee yatak moyo wa kigaid😂😂kazi kushusha vioo tu kuita vibinti....
Ni tatizo ambalo wanaume mmelitengeneza wenyewe na linawaumiza wenyewe.ndio mkuu.... binafsi naamini kuna wanawake wanaona beyond the wallet.... nashangaa watu wengi hawakubaliani na mimi
Lakini usije ukaiga utapotea mazima. Wachaga wana upepo wa Biasharabonge moja la bahati aisee 😂
Nyumbu Anasemaga Ukiona mzee mwenye hela katulia muite mbwaaa amekaa 👉👉👉paleee😁😂!Hahaha...............hizo habari za michepuko wanazo Vijana, sisi Wazee tumetulia tu 🤪
Kwanza huduma yenyewe kuipata ni hadi Jogoo awike, Jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara moja tu masikini siye 🙌🏃🏃🏃🏃