Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
๐๐๐Bila hela siku hizi kuna mwanamke utampata kweli ๐ ๐ ๐ ... miaka mingi imepita dada mmoja kaja kaniambia nimekupenda ulivyo sina shida na hela hataa.. weee nilivyojitusua mwezi mmoja nilikoma.. kila simu ilikuwa inakuja na invoice ๐ ๐ ๐
Wale waliokaa kimaslahi kwakweli huwezi kuwapa bila pesa hata iweje.