cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,025
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.Eendiwoooooooo shoss akee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.Eendiwoooooooo shoss akee!
Hahaa treble ya Mwanitesa United haikunogaNa haturingiiii wala nn, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Treble yetu itakua bora kuizidi ya manyumbu 1999. Woiiiiiiiih
Ndo maana akee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa treble ya Mwanitesa United haikunoga
sijambo vipi weweSalam jirani, hujambo
sponsors wanawapunguzia makali 😅Njoo bhana upumzike
mbona sie ke tupo zetu tu kitaa
😂😂😂
Hahaha..............hao waharibifu waambiwe mapema waweze kubadirika, sisi Wazee hatuhusiki kabisa 😁Zama zimebadilika sana babuu vibinti mnaviharibu mapema sanaaa unategemea bikra itoke wapi 🤠!
Nipo shwari jirani, napeleka mihogo tandale sokoni.sijambo vipi wewe
ah wap mafataki wengi ni wazeeHahaha..............hao waharibifu waambiwe mapema waweze kubadirika, sisi Wazee hatuhusiki kabisa 😁
mie sina sponsor wa kiume ambaye siye ndugu .sponsors wanawapunguzia makali 😅
Jirani mamboNipo shwari jirani, napeleka mihogo tandale sokoni.
Hahaha...............hizo habari za michepuko wanazo Vijana, sisi Wazee tumetulia tu 🤪babu nyie mna wa kuwapunguzia stress .
akizingua mke mnaenda kutulia kwa mchepuko
Si ndo hapo na wazee wenzao hawatutaki vilevile😀Zama zimebadilika sana babuu vibinti mnaviharibu mapema sanaaa unategemea bikra itoke wapi 🤠!
Ooh mihogo inaiva sasaNipo shwari jirani, napeleka mihogo tandale sokoni.
ah wapi babu , umedanganya anawikaje mara moja kwa mwaka .Hahaha...............hizo habari za michepuko wanazo Vijana, sisi Wazee tumetulia tu 🤪
Kwanza huduma yenyewe kuipata ni hadi Jogoo awike, Jogoo mwenyewe anawika kwa mwaka mara moja tu masikini siye 🙌🏃🏃🏃🏃
Sisi wakulima tunapunjwa tu, wenye bei wapishi🤣Ooh mihogo inaiva sasa
vipi bei yake huko tandale
lakini sasa si ni last option life likikaza.... sisi hatuna, life likikaza unaanza kula mara 1 kwa sikumie sina sponsor wa kiume akambaye siye ndugu .
ni kama dume tu 😂😂😂
Kuna Mangi mmoja ali drop out na lile boom akalifanya mtaji mara ya mwisho naona naye maeneo ya Sinza kijiweni. Tayari ana nyumba, Bar , Bodaboda mbilikuna mda nawaza sana ni-dropout 😂