mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,798
endelea kutulisha matango pori 😆Nina sura la mshangazi, sio kisura
We wakwetu kabisa ndioo
endelea kutulisha matango pori 😆Nina sura la mshangazi, sio kisura
We wakwetu kabisa ndioo
Kwa kuangalia hiyo mikunjo ya kwenye viganja vya mkono ?View attachment 2631063View attachment 2631064
Kabla teknolojia ya kupima DNA haijarahisishwa, Wazee waliweza kutazama viganja vya mikono na kujua kama Mtoto ni wa ndani au alishuka kutoka Nchi za mbali 🤪🙌
Hata baada ya miaka mingi ya ukuaji wa teknolojia, baadhi ya Makabila bado wanatumia njia hii kuweza kufanya utambuzi wa damu zao.
Kabla hujaamua kwenda kwa Mkemia Mkuu, unaweza kujaribu njia hii pia na ukapata matokeo walau kwa 55-70% 🤗
umejuaje iko accurate kiasi hiki??
Ndiyo, ila nadhani kuna cha zaidi kinatazamwa kupitia hivyo viganja.Kwa kuangalia hiyo mikunjo ya kwenye viganja vya mkono ?
Asante kwa maneno ya faraja ndugu yangu😍Hata kama una sura kama ya Whoopi Goldberg ndio wewe huyo inabidi ujikubali tu. Na tabia za Binadamu ni kutokuridhika lakini kwa suala la sura wakati mwingine ridhika tu
Hahahaaa....Wewe treinnaaa 😂😂😁 Nyota mbona unayo kitrambo mnywanii akee😂😂!Sijui ntasafisha nyota chino
Nina sura la mshangazi, sio kisura
We wakwetu kabisa ndioo
😂 😂 😂 😂 Hapana sio maneno ya faraja wewe ni kazi ya uumbaji wa Mungu ni lazima ujikubali tu vile ulivyo. Japo ni ngumu kujikubali lakini ni lazima ujikubali tu. Si unaona Ma celebrity wanavyohangaika na mionekano yao ??? Na ndio maana wale ni watu wenye misongo sana ya mawazo maana hawajikubali.Asante kwa maneno ya faraja ndugu yangu😍
Kuna wanaume ni mna damu kareeee haina haja ya vipimo wala nenee!!!!View attachment 2631063View attachment 2631064
Kabla teknolojia ya kupima DNA haijarahisishwa, Wazee waliweza kutazama viganja vya mikono na kujua kama Mtoto ni wa ndani au alishuka kutoka Nchi za mbali 🤪🙌
Hata baada ya miaka mingi ya ukuaji wa teknolojia, baadhi ya Makabila bado wanatumia njia hii kuweza kufanya utambuzi wa damu zao.
Kabla hujaamua kwenda kwa Mkemia Mkuu, unaweza kujaribu njia hii pia na ukapata matokeo walau kwa 55-70% 🤗
Hahaha sawa😂 😂 😂 😂 Hapana sio maneno ya faraja wewe ni kazi ya uumbaji wa Mungu ni lazima ujikubali tu vile ulivyo. Japo ni ngumu kujikubali lakini ni lazima ujikubali tu. Si unaona Ma celebrity wanavyohangaika na mionekano yao ??? Na ndio maana wale ni watu wenye misongo sana ya mawazo maana hawajikubali.
haha nyota gani mnywaniHahahaaa....Wewe treinnaaa 😂😂😁 Nyota mbona unayo kitrambo mnywanii akee😂😂!
Kwasisi tuliozaliwa kabla ya Computer, tuna msemo wetu kuwa "Kitanda hakizai Haramu"Kuna wanaume mna damu kareeee haina haja ya vipimo wala nenee!!!!
Watoto ni baraka granpa hongeraaa kwa kuleaa!
Au chumvi kwenye chakula isipokuwepo , hakuna ladha tena .Wanasema Hela kwenye mapenzi ni kama Kitunguu kwenye Kachumbari 🙌
Babe akisema umpeleke Dinner Hyatt Regency Dar Es Salaam uwe na hela ya kumpeleka 🤗
Kama lectuter haelewki nakuunga mkono .fine.... niko hapa nadodge kipindi 😅
Swadakta Mjukuu🤗Au chumvi kwenye chakula isipokuwepo , hakuna ladha tena .
wazeee mna maarifa sana
heshima kwenu baba zetu .
Mapenzi ya pesa ni utumwa granpah!!! Hasa kwa kizazi chetu hikiii 🙌🙌🙌🙌🙌!Wanasema Hela kwenye mapenzi ni kama Kitunguu kwenye Kachumbari 🙌
Babe akisema umpeleke Dinner Hyatt Regency Dar Es Salaam uwe na hela ya kumpeleka 🤗
Usijareee kabesaaa mnywanii afu ametulia kinoumaaaa... mpole mnoo!!Ndio ufanye fanye ivo Sasa kwa ticha wa mathematics