Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Walimu wako na upendo Sana!

Pale hall 5 walikua wanapita wawili wawili Kama kumbi kumbi/ na wengi waliowana kabisa
Kumbi kumbihahaa !

Walimu Wengi hatunaga mambo mengi kabessaa Tumejiridhikia naharee zeityyuuu wenyewe😁 Au nasema uongo Aaliyyah


Hahah Kiukweli walimu watunaongoza kwa cohabitation vyuoni😄☺️!
 
Lazima utumie hela kwa mpenzi wako hasa kumtunza na mahitaji yake.

Kama utashindwa kumtimizia mahitaji yake, nina hakika kuna watu wataingia kati kukusaidia hayo majukumu hivyo kukufanya wewe kupoteza influence kwake
Igweeeeeeeeeeeeehh Wazeee igweeeeeeeeeeeeehh 🤭!
Wazee mna nafasi yenu ya kipekee kabisa 🕺!
 
naogopa sana kitaa... natamani niunganishe hadi masters niendelee kula ugali wa shkamoo😅
Okay vizuri , hutochoka ??
kiukweli nikiwaza dissertation sijui maana research ya undergraduate ilinifanya hadi nitamani kununua kwa watu .

upime plagiarism , isizidi 30% ,ujinga mwingi
 
Kibuti cha kushtukizwa😂😂🤣🤣🤣!

Weee babu ukiwa na pesa si ndo unaheshimikaa lakinii unashobokewa sanaa,, Unalala na mwanamke yeyote unaemtakaaaa akupende asikupende sio shida zakooo 😁😁 unabadilisha nyapu tani yakooo 😄😄😄😄
Shikamoo 💰💰💰💰💰😁!
Niliwahi kupewa kibuti cha kushtukiza na mtoto wa aliyekuwa mpishi Ikulu ya Muingireza miaka ile ya Ujana.

Kutokea hapo nikajiapiza liwe jua au Mvua lazima niitafute hela popote ilipo.
 
sasa ukitafuta hela haimaanishi kwamba utaipata, kwahiyo ubaki mpweke??
Ni kweli sio kwenye kila utafutaji utafanikiwa, siku ukipata hicho kidogo hakikisha una mfurahisha kwa kumpatia mahitaji yake na walau fedha kidogo ya kutumia.

Kupata mwanamke asiye muhitaji wa fedha kwasasa, imekuwa vigumu kama kupata Bikra miaka hii
 
Lenie 😂😂⛽️
009C36C0-DC81-44C7-B695-4AD77AD28DE1.jpeg
 
Back
Top Bottom