Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,818
muwarithishe na vijana wasitusumbue maana hawafuti ya nyie baba zao .Swadakta Mjukuu🤗
Kuishi kwingi kuona mengi, hizi Mvi zetu zimehifadhi mengi 🤪
Mabinti wengi wa kileo, hawana uvumilivu kwenye maisha magumu. Unaweza kuamka ukajikuta umepewa kibuti hata hujajiandaa 🙌Mapenzi ya pesa ni utumwa granpah!!! Hasa kwa kizazi chetu hikiii 🙌🙌🙌🙌🙌!
Walimu wako na upendo Sana!Usijareee kabesaaa mnywanii afu ametulia kinoumaaaa... mpole mnoo!!
mna rahachuo changu hawafuatilii.... kuna masomo siingii vipindi semester nzima 😂
sasa mkuu hela haziko guaranteed.... kutafta pesa kwa ajili ya wanawake ni utumwawajikite kutafuta hela
Kuwabadirisha Vijana wa kileo kuna hitaji muda.muwarithishe na vijana wasitusumbue maana hawafuti ya nyie baba zao .
mna raha hukoMUST raha sana.... imagine semester iliyopita tulifeli weee😂 mkuu wa chuo akatuongezea marks.... niliingia mapindi 2 tu
huku presentation ukikosa unapata nusu marks.... hakuna attendancemna raha huko
supp tu unalipia 20,000 , ukitaka kuappeal napo unalipia .
presentation ukikosa unalo , uvae official and smart .
hongera sana babu , anza na hao .Kuwabadirisha Vijana wa kileo kuna hitaji muda.
Hata hivyo tunaendelea kuwaelimisha taratibu, ingawa nilianza na Vijana wangu tangu wakiwa na miaka 3 😁
duh , unawekewa buyu , akiwa mnoko ndo kabisa .huku presentation ukikosa unapata nusu marks.... hakuna attendance
Kibuti cha kushtukizwa😂😂🤣🤣🤣!Mabinti wengi wa kileo, hawana uvumilivu kwenye maisha magumu. Unaweza kuamka ukajikuta umepewa kibuti hata hujajiandaa 🙌
Watoto wangu wa Kiume nimewaambia wajikite kutafuta hela, ukikosa hela kwa Dunia ya sasa una dharaurika kuanzia kwenye vikao vya familia hadi kwenye mahusiano ya Ndoa.
elimu yenyewe kubahatisha tu kazi hupati🚮duh , unawekewa buyu , akiwa mnoko ndo kabisa .
kuna mkaka ilibidi apost pone , alishindwa kupresent .
wanataka usisome , utoe vichwani
Safi sana babu kweli panapo wazee hakiharibiki kituuu👍!Kuwabadirisha Vijana wa kileo kuna hitaji muda.
Hata hivyo tunaendelea kuwaelimisha taratibu, ingawa nilianza na Vijana wangu tangu wakiwa na miaka 3 😁
useless kabisaelimu yenyewe kubahatisha tu kazi hupati🚮
kuna mda nawaza sana ni-dropout 😂useless kabisa
tunasoma basi tu , kuondoa ujinga
No , usiache soma tu upate cheti tukukaribishe kitaa huku tukisubiri serikali imalize kuajiri miaka ya nyuma .kuna mda nawaza sana ni-dropout 😂
Lazima utumie hela kwa mpenzi wako hasa kumtunza na mahitaji yake.sasa mkuu hela haziko guaranteed.... kutafta pesa kwa ajili ya wanawake ni utumwa
Amen 🙏Safi sana babu kweli panapo wazee hakiharibiki kituuu👍!