sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
hehehee makubwaEhhh kama watatu hvi sema wababe
Sema mm mademu wababe sina mzuka nao maana mm mpole sana
hahaa eti mpoleEhhh kama watatu hvi sema wababe
Sema mm mademu wababe sina mzuka nao maana mm mpole sana
Sijaona kilichozidi palePamoja na kuzidisha portion????😆😆
Huyo nani ana marinate kuku?
hehehee makubwa
kuna wakuria watata sana
mie sijui kwa nn sio mkali
hahaa eti mpole
tuone upole wako .Mm mpole yani
Uoni mkono wangu 😂😂Huyo nani ana marinate kuku?
Ah nakuonaga white white mtoto wa Dar. Kumbe ni 360 za iphone 😂Uoni mkono wangu 😂😂
Ahahahahha sijatumia editing leo 😂😂😂Ah nakuonaga white white mtoto wa Dar. Kumbe ni 360 za iphone 😂
😂😂 mambo ya vivid na vivid warm.Ahahahahha sijatumia editing leo 😂😂😂
Si unajua uHB wangu unabebwa na filter usinirekod bila kuweka filter nitanifanay nimekasilikaaa😂😂 mambo ya vivid na vivid warm.
Sawa mwaisa 😂😂Si unajua uHB wangu unabebwa na filter usinirekod bila kuweka filter nitanifanay nimekasilikaaa
Tatizo ni tattoo. Vinginevyo ni mrembo.
hahaha coca bana!!Woooooowwwww!!!!
Babeee km babeee
Afu mbna hapo mbele pametuna sana?? Hujavaa boxer leo??
![]()
Dea kwa mambo ya urembo sikuweziiii,
Umejaliwa aseeh na unawezaaa,![]()

Pole nkamu
Can't complain kwakweli!matokeo vipi