Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,270
- 37,576
Utatuweza wakuria sie
Tena wakuria ndyo watamu hamchoki
Utatuweza wakuria sie
[emoji485] sio chai[emoji23][emoji23]Unazingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So, sasa hivi umebadilika umekuwaje?Nimezaliwa hapa hapa na kukulia hapa .
nimebadilika nilikuwa so innocent , naive .
Hii dressing code na hizo tattoo anapendeza sana unapomtambulisha kwa wazazi na ndugu zako.🤪
ushakutana nao 😂😂Tena wakuria ndyo watamu hamchoki
Nimekuja
ushakutana nao [emoji23][emoji23]
Ile picha uliyoweka mbona siioniNimekuja
kama nilivyo humuSo, sasa hivi umebadilika umekuwaje?
Kwanini lakini 🥹
Chef Mwachi oyeeeee
Tuone na pilau basi.