Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

PXL_20230515_101656829.jpg
 
Wanaume hawa 😂😂
Tunawapenda ila wanavyotuset
Kakubembelezea kidogo unaingia line
😂😂Kipenz ndo maana walisemaga moyo wa mtu kichaka unakuwa hujui nn kipo au nn kitatokea muhimu kuangalia nafas Yako akikupenda nawe penda Kwa moyo wako wote ikitokea tatizo la kiufundi bas ujue mudawako umeisha ametafutw mwenzio Hao ndo wanaume😂
 
Hakika aisee , unaachwa mchana kweupe .
Vipi umeamkaje ?
 
Greetings in the name of Yanga💛✌️
💝💓💖💖💖💖💖💝💗💗💗❤️❤️💜💚💚💚💚💚💞💞💕💘💘💞💞💞💯💝💓😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 Duuh jomoni auntie akeee Antonnia 🤗🤗🤗🤗🤗🤗

Auntiee zuri la jf, umeona sasa ulivyo na sura nzuri alafu jana ulikuwa unajinadi ooh sura ya baba kaone kwanza katoto hako ☺️☺️☺️☺️☺️

😃😃😃💜💜💜🎉🎉 Daah cheupe dawa
 
😂😂Et mchana kweupe Inaumizaga ila hatupaswi kulazimisha tunaowapenda wabaki ikiwa wanatak kuondoka
Nimeamka poa kipenz vip wew
Yeah japo si rahisi , unabaki na majonzi plus huzuni moyoni .

Ni vile muda ni jawabu zuri
Nipo okay pia !!
 
Bantu Lady Tayukwa hivi mpooo au ndio mmetingwa na weekend???
Nimewamisooo hadi naumwaaa
cocastic sio kwa kuninuniaaa hukuu[emoji4][emoji4][emoji4]!!
Nipooooooo na nimejaaa teleeeeeee.

Citizen tumeingia final kibabeeeee, na haturingii, huu mwaka wetu mbonaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipooooooo na nimejaaa teleeeeeee.

Citizen tumeingia final kibabeeeee, na haturingii, huu mwaka wetu mbonaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndriioooooooo shostitooooo tumetinga grand finalee 💚💛💛💪💪
 
Ndriioooooooo shostitooooo tumetinga grand finalee [emoji172][emoji169][emoji169][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nasemea citizen ya England, shougaaaa nawee nae.

Ila hongereni mkomae mkarudi na kombee.
 
Back
Top Bottom