Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Mtoto unapenda picha wewe..Nimeota umenipa picha
Selfika kwanza mtoto mzuri.
Mtoto unapenda picha wewe..Nimeota umenipa picha
Naomba basiMtoto unapenda picha wewe..
Selfika kwanza mtoto mzuri.
Yaani nimechekaAfu ni kweli kabisa haya mambo haya [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
EmuuuMarahaba
We mzuri.
Ukiniroga na mie nakuroga.Naomba basi
Nimechoka kukubembeleza
Kilichobaki ni kutengeneza kwa Mshana[emoji23]View attachment 2622169
Hebu naomba basi [emoji3064]Ukiniroga na mie nakuroga.
Selfika, mtoto mzuri, kipindi kirefu sijakuona.
Uje unisalimie ata siku mooja tuNipo best, mambo mengi muda mchache
Nikiweka nitaku tag.Hebu naomba basi [emoji3064]
Hadi nalia chaaa!
Huu ni unyanyasaji wa kijinsia
Hiyo sehemu watu waliingizwa chaka na madalali wamepata hasara sanaView attachment 2622148View attachment 2622148 Ununio.Dar-Es-Salaam
Nipe Mimi ya kwangu,Nikiweka nitaku tag.
Unaendeleaje?
Wanasema hapakuwa na shida awali. Ujenzi wa mradi bomba kubwa kutoka basihaya kupeleka maji baharini na bomba lenyewe liakishia mitaa hio bila kufika baharini ndo ilikua chanzo. I guess mwenye hilo eneo alifile kesi na amelipwa tayariHiyo sehemu watu waliingizwa chaka na madalali wamepata hasara sana
Subiri nitafute.Nipe Mimi ya kwangu,
Achana na hizo za kuweka.
Duh😂View attachment 2622148View attachment 2622148 Ununio.Dar-Es-Salaam
Dah!Subiri nitafute.
Mama nani wewe?Dah!
Kweli nanyanyasika mimi.
Yaani hadi siku ya kina mama nanyanyaswa🥺
happy mothers' day shangaziii 😂Marahaba
Kwa hiyo serikali imewalipa? Kuna yule mwingine alikuwa anajenga nadhani apartment naye alilipwa?Wanasema hapakuwa na shida awali. Ujenzi wa mradi bomba kubwa kutoka basihaya kupeleka maji baharini na bomba lenyewe liakishia mitaa hio bila kufika baharini ndo ilikua chanzo. I guess mwenye hilo eneo alifile kesi na amelipwa tayari