mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
hivi unajua kuna watu hata hiyo elf10 hana??😂 mnaangalia sana hela skuizi, barrier to entry imekua kubwa..... ndo maana kuna ongezeko kubwa la wanaume ambao ni 30 yr old virgins😂The more you spoil her , the more you will enjoy the show -Anonymous 😂😂😂😂
hapo unatafuta manzi simple unayejua hapo ghetto ni kwako , utamnunulia chipsi kuku na elfu kumi ya asante/usafiri.