Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kweli vipi wale wanaoweka mavitu ya ajabu kama douching , vinegarHawajui tu wanaume hata hatuhitaji hivyo vyote hasahasa usafi wa mwili ndo muhimu zaidi
Kweli vipi wale wanaoweka mavitu ya ajabu kama douching , vinegarHawajui tu wanaume hata hatuhitaji hivyo vyote hasahasa usafi wa mwili ndo muhimu zaidi
Umejibu vizuri ila isiwe kila siku mnapokutana unakuwa kama unamnunuaI think its cool since we are in dating phase , hakuna shida once mkifunga ndoa na umetoa mahari hakuna posho wala nini
Unamaanisha posho iendane na perfomance ya siku hiyo sio? 😅Si kama mfanyakazi akiperform vizuri lazima apate reward ili afanye kazi kwa juhudi zaidi .
Hela haitakiwi kuwa ndefu unampa kwa kigezo cha usafiri , na utakula baadaeUmejibu vizuri ila isiwe kila siku mnapokutana unakuwa kama unamnunua
Hatuyahitaji hayo yote halafu mwanamke akiwa amekuja msafi wa mwili hana hizo mbwembwe huwa tunainjoi ule uhalisia wake wa mwili na shoo inakuwaga nzuri sanaKweli vipi wale wanaoweka mavitu ya ajabu kama douching , vinegar
Ikiwezekana eehUnamaanisha posho iendane na perfomance ya siku hiyo sio? 😅
Mwanamke ukimwendekeza kumpa hela ndio hawa baadae wakiolewa unasikia mwanamke kamuadhibu mume wake kwa kutompa unyumba kisa helaIkiwezekana eeh
Mtoto wa watu katoka huko perhaps amekuja for sleep over ndo usimpe hata 50000
Watu wanahangaika na mavitu ya ajabu , kumbe nyie hamjali hata .Hatuyahitaji hayo yote halafu mwanamke akiwa amekuja msafi wa mwili hana hizo mbwembwe huwa tunainjoi ule uhalisia wake wa mwili na shoo inakuwaga nzuri sana
Humpi hela ndefu , kidogo tu yakukidhi mahitaji mafupi .unapa zawadi na sio pesaMwanamke ukimwendekeza kumpa hela ndio hawa baadae wakiolewa unasikia mwanamke kamuadhibu mume wake kwa kutompa unyumba kisa hela
Mh SI wengine tupo single toka tumezaliwa😂😂ye34nbe karibu uchangie
Toto senge Sana😂😂Kwa nilvyo viona naogopa sana madem hasa chuo[emoji23] Kuna mtu alichomwa kisu.....
Okay MkuuMimi napita tu 😊😊😁
Ah wapiMh SI wengine tupo single toka tumezaliwa😂😂
Wewe umekuwa kama mimi, huyu jamaa nimekusanya zaidi ya nyimbo zake 7 nazisikiliza.Huu wimbo siku ya kwanza kuusikiliza sikumbuki niliurudia mara ngapi.Napenda sana nyimbo za style hii na ni kali sana pia.Sipendi manyimbo ya kupayuka payuka hovyooo.
Ngoja nizipakue.Wewe umekuwa kama mimi, huyu jamaa nimekusanya zaidi ya nyimbo zake 7 nazisikiliza.
Kuna nyingine zinaitwa Teamo na still not young zipo vizuri sana
Ukiwa una stress za kazi au Mpenzi amekuudhi zinafariji pia.
Unafarijika huku una jaa upako 🤗
Zipo vizuri sana....Ngoja nizipakue.
Dagaa zinaonekana ziko vizuri!!!👌🏾