Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Man city to the sky 💙💙💙💙💙💙💙

Treble loading,,,,,,,,,,
Screenshot_20230517-235943~2.png
 
Hivi yale majina mnayotupea huwa mnafikiria nini kuna mwanangu alishtuka kumbe manzi wake alikuwa amemsave jina dakika 3 😅😅😅

Cc; Tinsley
Mtu ukiwa hujamuweka moyoni unamuona wa kuja , so unaamua kumsave chochote kile .
Sio fair lakini kumsave mtu majina ya ovyo .. Kuna wengine wasumbufu na haukumbuki ulimpa namba wapi au jina hujui unamsave tu cha usumbufu .
 
🤣🤣🤣 ona sasa eti 'cha usumbufu'

Sisi huwa tunawasave majina mazuri angalau ila nyie daaah yaani mnatafutaga sifa mbayambaya ndo mnatusave.

Kama yule mwanangu alikuja kujua sababu ya kuseviwa jina dakika 3 penzi liliisha aliona amedharauliwa sana
 
Duh so sad
Sijawahi saviwa jina nzuri , I guess I'm not lucky in dating .
Huwa ni jina langu kavu 😂😂

Pole yake duh , sasa muda mwingine mtu anakukera tu kukuchefua umemsave vipi jamani.
 
Mwanamke ukiishi kwa shida unafeli sana.... Huku chuo naona jinsi watu wanavopangwa, Dem ana support group yake[emoji23]
Bora shida tu aisee
Kuliko kuchezewa hovyo

Yaani bora nisisuke , nisile vizuri ,nimekuja kujua mimi ni thamani sana , pesa si kitu .

Utapewa Leo laki moja , utasuka elfu 40, utapaka rangi elfu kumi 10 . ukibaki na 50 labda utatumia kula

. ishaisha hiyo huku umejiunga kiroho na watu usiowajua
 
Back
Top Bottom