cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
Nilikua cpo hapa, heka heka nyingi jamaniii.Hukujibu mapema nikapotezea [emoji57]
Bas mpost sahiv.
Nilikua cpo hapa, heka heka nyingi jamaniii.Hukujibu mapema nikapotezea [emoji57]
Dogo anaendelea ccy matokeo yalikua mazuri.Dogo anaendeleaje sis?? Vipi matokeo tayari??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitafutie mwana lunyasi bhanaa.Eh pole , ndo ushapenda hapo
Hakuna namna .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]irreplaceable by Beyonce
Thank u next -Ariana
Potential break up .
Mapenzi ni ujinga , pole ndugu .
"Acha niende" by Baraka The Prince.NYIMBO GANI NZURI YA KUSIKILIZA UKIWA UMEACHWA[emoji17][emoji17][emoji17]
Amen hakika ni mwemaMungu anasaidia kwakweli tunapambana nayo
Safi sana hakika mmepambana! Mpe Hongeraa!Dogo anaendelea ccy matokeo yalikua mazuri.
Nilimuombea ruhusa chuo ruhusa inakaribia kuisha arudi kuendelea na masomo
App inazingua picha hazifunguki, cjui hii Tecno ni kimeo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Chief
Picha Yangu enzi za usichana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo wanguHuhuhu
Ile ya kwanza nzuri
Uweke na ile
Asante sana ccy.Safi sana hakika mmepambana! Moe Hongeraa!
Hahahaa ile mwanzoni unauliza kabisa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitafutie mwana lunyasi bhanaa.
Shikamoo dearAsante sana ccy.
Marhaba shemeji angu, mzima ww?Shikamoo dear
Kwa ndevu hapoMdogo wangu
Nakuja kukusalimia
Niko hapa usogee kituoni nakaribia
Shemeji shemeji tena?Marhaba shemeji angu, mzima ww?
Shemeji si anaweza kua darling kwa hyo usiwe na wasiwasi 😁😁😁😁Shemeji shemeji tena?
Unataka kuninyima nini sweetheat?😜
Sio wewe tuApp inazingua picha hazifunguki, cjui hii Tecno ni kimeo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni huyu cocastic anakutisha hapaShemeji si anaweza kua darling kwa hyo usiwe na wasiwasi 😁😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] G tutajua mbele kwa mbelee.Hahahaa ile mwanzoni unauliza kabisa .
Na G unamuachia nani kwa mfano .
Hapo naendaga sanaMdogo wangu
Nakuja kukusalimia
Niko hapa usogee kituoni nakaribia