cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
Web, mie siwezii kwa kweli.Sio wewe tu
Watu wengi inagomea kufungua picha .
Hamia kwa Web
Web, mie siwezii kwa kweli.Sio wewe tu
Watu wengi inagomea kufungua picha .
Hamia kwa Web
Mie nawee si tumeshaachana jamani?? Vipii unataka kuniharibia kwa penzi langu jipyaa.
😁😁😁😁 Naogopa coca asiniwashe vibao
Usiseme hivyo G anavyokupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] G tutajua mbele kwa mbelee.
Ex wangu huyooo, wee faraguka nae.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Naogopa coca asiniwashe vibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeUsiseme hivyo G anavyokupenda
Jaribu uone , nilikuwa naona uvivu wa kutumia web , sasa hivi nishaizoea .Web, mie siwezii kwa kweli.
Ushawahi kuwa na soulmate ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee
Mim huyo ni mchumba wa dada angu sa sijui itakuaje 😁😁Ex wangu huyooo, wee faraguka nae.
Mie nilishaachana nae kitambooo. Hadi nsha msahau.
Mie nawee si tumeshaachana jamani?? Vipii unataka kuniharibia kwa penzi langu jipyaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ex wangu huyooo, wee faraguka nae.
Mie nilishaachana nae kitambooo. Hadi nsha msahau.
Nisubiri hapo kwa Ndevu 😁Mdogo wangu
Nakuja kukusalimia
Niko hapa usogee kituoni nakaribia
Nisubiri hapo kwa Ndevu 😁
Mie ndo hutaki 😂😂😂Nimefika Chama tayari
Nikirudi nitakushitua
Wewe tena?Mie ndo hutaki 😂😂😂
Okay kakaWewe tena?
Sikupitia nakuja mdogo wangu
Mungu awafanyie wepesi.Mdogo wangu nakuomba ufanya namna basi tumfariji ndugu yetu kwa hili kwa kadri tutakavyowezeshwa tafadhali
Naomba na nakupendekeza wewe uratibu hili jamboMungu awafanyie wepesi.
Nadhani ingependeza kwa yeyote anayewiwa amtafute.
Jamaa ni mtu poa sana.
Nakumbuka alinifariji sana kipindi nimefiwa.
Intelligent businessman nadhani atafaa zaidi ukizingatia ana updates za jamaa.Naomba na nakupendekeza wewe uratibu hili jambo
Naona tukilifanya kwa pamoja litapendeza