Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Msinikumbushe!!Vitenge !
Vitenge!
Vitenge!![]()
Msinikumbushe!!Vitenge !
Vitenge!
Vitenge!![]()
Wife Ndiyo amefanya ufundi wake mzee babauko vizuri mkuu..umetengeneza wewe au?





Mkwe vipi?Nekeeiiii
Nekeiii..
Nekeiiii..... x 2
Gaiii!! Ilikuwaje nikapitwaHaiko mtu ficha mimi dada,, mbona nimeweka picha jana tu na ulikuwepo humu humu eti..



Jamani nywele amaizing hizii, nilivo na kipilipili sasa

We endelea tu. Ka princess kako wapi leo?
A good day I'm going Wild
-Your prayers View attachment 1271238
Hiki kimekuwa kijiwe cha wengi wetu.Feels good to see familiar faces, bro. Toka nimekigundua hiki kijiwe, ndio pamekuwa maskani, kwingine sipaelewi nadhani utu uzima huu.
Ndio raha yao hiyo. Hongera sana.Lol kanamiliki TV. Unadhani kwanini naangalia movie kwenye tab? Yaani mpaka akalale ndio wengine tusogelee.
Mizururo time.View attachment 1271271
Shauri yako nakuunganisha na visu hutaki
MajiHahahaa...
Ila unakunywa na nanii?
Majaribu ni mtaji shemeji.Haya sasa majaribu shemeji![]()
Karibuuuu.Jamaaaniii
Pilau mkuu, unaweza niloga juu ya pilau mimi jamani
HahahahaahUtazidi kuwa karembo.