Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipo kwenye maandalizi ya tortilla sandwich.
Hapa ayari nimeandaa tortilla kwanza uandaaji wake kama chapat tu ikiisha iva tayari ndioo naweka mixer ya chicken crispy, lettuce, cucumber, mayonnaise, mustard, tomato.
Kisha bazifanya kwa kuzi roll tortilla na mchanganiko wa mazanga ndani yake, kisha naweka kwenye tosta.

Baada ya kuivisha nitawakaribisha wakuu....
IMG-20190529-WA0008.jpeg
 
Back
Top Bottom