Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Wow
We baki hivyo jamani auntie.... December ikipita nanyoa na mimi, huo ndo mpango wangu!Nigawie auntie
Nakusalimia tuu mimi jamani kaka
Haya bwana, nenda ukazifiche upareni. Hapa mjini wadada watazimaliza mkuu.
Nipo mpendwa wangu, umeadimika vilivyo...Nakusalimia tuu mimi jamani kaka
Auntie mie kunyoa si kwamba ninapenda, sina hela ya kusuka.We baki hivyo jamani auntie.... December ikipita nanyoa na mimi, huo ndo mpango wangu!
mmmmhIiooohooo
Kwa hii hii serengeti light si itakua wastage ya prayerA good day I'm going Wild
-Your prayers View attachment 1271238
kirua companyKiruuuuuu
Nipo hapa mimi jamani kaka, labda tunapishana tuu jamani!!Nipo mpendwa wangu, umeadimika vilivyo...
Hata mimi sipendi auntie, hela hakuna!! Bora ninyoe tuu sasa!Auntie mie kunyoa si kwamba ninapenda, sina hela ya kusuka.
Mamii hapo kuna mzinga wa Konyagi umechanganywa..Kwa hii hii serengeti light si itakua wastage ya prayer
Tunafanyaje sasa 😂Hizo kucha nimezielewa mkuu
Kwa hii sifa.." excess baggage" kweli Nina stahili kuachwa..We sio level zangu..
Na mimi ndo nataka tumbuni mbwino mkuu, vidole vizuri sanaTunafanyaje sasa![]()
njoo nikupe bure kabisaNa mimi ndo nataka tumbuni mbwino mkuu, vidole vizuri sana
Sakayo..Unavicomment flani hivi vya kipole,vinabembeleza halafu kama vinakuita hivi..Ila jidanganye kwenda sasa uone balaa lake..Nipo hapa mimi jamani kaka, labda tunapishana tuu jamani!!
