Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Rudi hapa![emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Rudi hapa![emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Yaani wewe mtoto umenishinda tabia haki tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahahahahaha
Kuna mahali wanaimba Nakeii Nakeii...[emoji23][emoji23]Mkwe vipi?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Muwekee Roger Sterling neema za Allah afurahishe macho.Abeee
Msinikumbushe!!
Basi uwe unazichana tu, huku makusanyo kwenye kibubu yakiendelea , nazionea huruma/wivu usizinyoe jamaniiNatamani nipumzike, nikusanye hela za kusuka kwenye kibobo dear!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio ugonjwa wako eeh? Tatizo wanawahi kufuta sasa[emoji134]
Khaaaah!! Huyu mkeo mie kanishinda.Unajua ule wimbo wa Diamond na Innos ?
Kuna mahali wanaimba Nakeii Nakeii...[emoji23][emoji23]
Sasa nikiona vitu vikienda mrama ndio kibwagizo changu [emoji23][emoji23]
Gaiii!! Ilikuwaje nikapitwa[emoji134][emoji134][emoji134]
Sijui hata kwanini wanafuta, hata mimi siwaelewiii[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Bwana we, I'm all for thickness. Kwanini wanafuta lakini?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nifundishe basi jamani pozi la kusimama dear
Mefanya ajeee akii auntie!!Yaani wewe mtoto umenishinda tabia haki tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Acha kunibania mimi jamaniUwii nilibahatisha tu mwe [emoji23][emoji23]
Naona ndio umeachiwa.
Umeniambukiza huo ugonjwa wako ujue?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] sijui ila ulipitwa na basi stendi kabisa yani
Muone kwanza jamani
HahahahahahaBasi uwe unazichana tu, huku makusanyo kwenye kibubu yakiendelea , nazionea huruma/wivu usizinyoe jamanii