Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Ndio dearzako hizo bby ?
Ila niko na mpango wa kunyoa mwakani jamani, Mungu akinipa uhai
Ndio dearzako hizo bby ?
Auntie ni wa Heaven Sent huo, leo nimemfuma nikampiga picha.Awwww
Auntie wanguu mguu kama wote, natamani ningekuwa hizo tiles mimi jamani
Jamaaaniii
Auntie usinyoe bwanaNdio dear
Ila niko na mpango wa kunyoa mwakani jamani, Mungu akinipa uhai

Haiwezekani kabisaa jamani auntieAuntie ni wa Heaven Sent huo, leo nimemfuma nikampiga picha.
Ndio hivyo, muulize atakwambia.Haiwezekani kabisaa jamani auntie
AuntieAuntie usinyoe bwana![]()
@Heaven Sent hebu ukujeeNdio hivyo, muulize atakwambia.
Nipo bro..Tunapishana tu nadhani..Wapendwa sijui wamebadili ID, sijawaona kitambo sana..Kaboom usiwaze bro, mi nilikuwa nampa moyo atubariki. Kitambo mtu mzima, unajificha kona zipi? 'Wapendwa' pia siwaoni siku hizi.
Asipokudanganya sijuiiiii@Heaven Sent hebu ukujee

Ulivyokazana na hizo baggage sasahakuna kitu kama hicho mpendwa.
Jamani..
Kuna muda natamani kunichokoza tuu mimi jamani!!
..Unalalamika vizuri ndo mana nakuchokoza..Nipo bro..Tunapishana tu nadhani..Wapendwa sijui wamebadili ID, sijawaona kitambo sana..
Teh teh..Respect bro..Cant ask for more..Ila msalimie..Hahaha huyo muone hivyo hivyo kainama tu. Ni zile wanasema, to blow the base you'll have to cover the face.
Kesho nitapiga na haiba nitaweka, hao wengine ngoja waje wenyewe.Mi mgeni bana. Hebu rudia tena tafadhali, na hao uliowataja pia.
Wewe ndo wanidanganya auntie wangu jamaaniAsipokudanganya sijuiiiii![]()