Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,849
- 57,513
Sijambo Mjukuu, habari za huko Mjini 🤗Babu kijana upo?
Na umri wote huu nilionao unaniita Kijana, Babu yenu Umri umenitupa Mkono ujue 🤪
Sijambo Mjukuu, habari za huko Mjini 🤗Babu kijana upo?
😆😆😆😆Kuna mambo yanahitaji majaribio lakini sio kwenye kula 🤪
Nimewahi kujaribu kulalia matunda usiku, huwezi amini niliokolewa na uwepo wa Mayai kwenye Fridge.
Otherwise wale wadudu wa tumboni walitaka wanitoe roho maana walishaanza kuandaamana kwa kuunguruma aisee 😄🙌
Kwa nini unajiita babu kwani unataka wachumba wakukimbie jf 😁😁Sijambo Mjukuu, habari za huko Mjini 🤗
Na umri wote huu nilionao unaniita Kijana, Babu yenu Umri umenitupa Mkono ujue 🤪
Naona mnanichorea ramani,jinga sanaTufanye jambo basi au vp kama yupo dar Itakuwa vizur kama yupo mkoa tumtumie nauli
Hakika, mwenyewe kuna siku iliwahi nitokea ingawa ilikuwa hotelini.😆😆😆😆
Kama hujazoea hukawiii kwenda kusaka msosi mtaani usiku mnene!!!!
Mwenzio nimekunywa maji ya moto yaliyo changanywa na ndimu mpaka nimechoka nikivaa nguo ya kubana kinachomoza 😬😁😁Bantu Lady Aaliyyah cocastic Nuzulati Naombeni tips za kupunguza kitrambiii!☺️
Nina kitambi msambao kimesambaa hapa chini ya kitovu 😂😁!!
Cha chini mazoezi na na ulaji. Kupunguza vya mafuta na wanga. Mimi nilishachoka. Babe siku akikubali niende gym kitaisha 😉Bantu Lady Aaliyyah cocastic Nuzulati Naombeni tips za kupunguza kitrambiii!☺️
Nina kitambi msambao kimesambaa hapa chini ya kitovu 😂😁!!
Hahahaha......................Kwani inawezekana humu kupata Mchumba🙈Kwa nini unajiita babu kwani unataka wachumba wakukimbie jf 😁😁
Alafu ukiwa mwenyewe ndio inazidi!!!Hakika, mwenyewe kuna siku iliwahi nitokea ingawa ilikuwa hotelini.
Bahati nzuri ile Hotel wanaweka vifaa vya kutengeneza Chai pamoja na heater. Vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi.
Kutokana na maumbile yetu, nahisi Wanaume hatuwezi kulala bila kula 🙈
Utajuaje kwanza badilisha avatar weka ya mkaka mzurii kisha usijiite babu utapata mchumba nimekumegea siri mkuu😁Hahahaha......................Kwani inawezekana humu kupata Mchumba🙈
Nina miaka 8 humu tangu nijiunge lakini sijawahi kujua hilo Mkuu🤪
Lol kumbe itabidi nipunguze kufakamia wanga sasa santo sana!Cha chini mazoezi na na ulaji. Kupunguza vya mafuta na wanga. Mimi nilishachoka. Babe siku akikubali niende gym kitaisha 😉
Yaniii kilivo na kimbele front sasa nguo ya kushika lazima kitokezee😁😁!Mwenzio nimekunywa maji ya moto yaliyo changanywa na ndimu mpaka nimechoka nikivaa nguo ya kubana kinachomoza 😬😁😁
Hahahaha..........thanks for the tips MjukuuUtajuaje kwanza badilisha avatar weka ya mkaka mzurii kisha usijiite babu utapata mchumba nimekumegea siri mkuu😁
Kuna siku mpaka nilimtania dear ajaribu kuchepuka nijue nikiwa na mawazo labla kitaisha alicheka mno 😁😁Yaniii kilivo na kimbele front sasa nguo ya kushika lazima kitokezee😁😁!