Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeh baba

Kama kawaida yetu mwanangu
.
IMG_20230428_083252_040~2.jpg
 
Me nilijua hizo habari njema ni za kuniletea Mkwe, hivi yule Mkwe ile mahari ya shilingi milioni 20 tuliyomtajia ameshindwa kulipa?

Mwambie mambo mengine yanaongeleka akishaleta Koti la Babu 🤗.

Wacha niwahi shambani tu 🤪
Mkweo mahari haijamshinda ila nimeona anichukue tu Bure ananidekeza sana babu had nashindwa kuhema vizuri mjukuu wako 😂😂😂Ila kotilako ataleta
 
Back
Top Bottom