Sina vocha ya kumpiga😁Yaani wewe
Ulipompeleka mama mchungaji Heaven Sent huko ni wapi??
Turufishie mama mchungaji wetu tafadhali..
Amemisika hapa
Kokote aliko mwambie vijana wake tumemiss apite japo atupe salamu kwa mbaliii
Wee hata hapo mbona wewe ni mrefu sana hivohivo uko vizure sanaa!!Matege yananifanya nionekane mfupi😁
Nisingekuwa na matege ningekuwa ngongoti.
Basi ssauwaaa babuu tunakusubiriaa! ✌️✌️✌️Hahaha.................usijali Mjukuu, wacha nitoke shamba
Ningekuwa zaidi ya hapaWee hata hapo mbona wewe ni mrefu sana hivohivo uko vizure sanaa!!
Ukiweka hapa umewekea umma,itakuwa siyo ya kumpigia HS,,Narusha hapa baada ya dk 20
Bring back mama mchubgaji Heaven Sent
Bring back mama mchungaji please Heaven Sent njoo uine ninavyonyanyaswa hukuUkiweka hapa umewekea umma,itakuwa siyo ya kumpigia HS,,
Labda tufanye atakayepsts ndo atampigia.
Ningekuwa zaidi ya hapa
Niwe nawachungulia akina Palladino Kwa mbali🤣
Endelea kulalamikaBring back mama mchungaji please Heaven Sent njoo uine ninavyonyanyaswa huku
Basi nitatupia kule kwenye group letu la whatsapp

Kabisa.Hivohivo inatoshaaa urefu huohuo unakufaa mamy!
Na zinakutosha hiyo nguo . Duh haujanenepa wewe ?Nina nguo hadi za 2010,2008
Mama mchungaji Heaven Sent popote ulipo salamu zangu zikufikie nkamuEndelea kulalamika
Harudi![]()


Nina nguo hadi za 2010,2008
Baadae BLMorning Wigeee!!
Fanya wepesi Tumuone mpiga picha pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Bila kifurushi hakuna kuselfikaMama mchungaji Heaven Sent popote ulipo salamu zangu zikufikie nkamu
Urudi tuselfike mama junia ananinyanyasa huku