Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
SamalekoNimekaaa hapa nafanya mathematics
SamalekoNimekaaa hapa nafanya mathematics
Ukute ni dada yangu na simjui 🥴Kiukweli kwa nilivyomtazama, wenye udada yule alipita, yuko above 40yrs.
Sema ana umbo dogo mnooo,
Niseme mala ngap wakat nshamaliza kusemaHebu sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee mwenyeji hapanaaUkute ni dada yangu na simjui [emoji3061]
Macho yakoUsinambieee cazee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uongo gani sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto muongo sana[emoji28]
Kwann jaman?? Hebu fanya uwe Main chick bhanaaWeuwe , raha .. Sijawah kuwa main chick kabisa lol .
Cazee mie ni ndugu yakoo bhanaa, wee huogopi Incest?Niseme mala ngap wakat nshamaliza kusema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Macho yako
Unamjulia wapi Dr Lizzy ?Uongo gani sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akati ni kweliii.
Ebanaaeeeh,Baadae ya leo, km Simba itashinda na kuingia Semi, naweka picha full tangu utosini had unyayoni liveeee.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Dating is not my thing . nafanyaje niwe main jamani nipe desa .Kwann jaman?? Hebu fanya uwe Main chick bhanaa
Nilipanga nikupatie zawadi ya ice cream uwapelekee kina H May mosi, ngoja niwanunulie toys tu.
Kapige tyuuh bina, ili unionee live binamu yakooEbanaaeeeh,
ebu Ngoja nkapige maombi[emoji1]
Sasa wee dear hujunjaniii??Dating is not my thing . nafanyaje niwe main jamani nipe desa .
Aina noma binamu[emoji4]Kapige tyuuh bina, ili unionee live binamu yakoo
[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Aina noma binamu[emoji4]
Unaona sasa!😅Namjulia nyumbani kwake..
Poleni sanaNilipita kuwasalimia wapendwa.
Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani[emoji3064]
Umeme una mengi.
Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.