Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilipita kuwasalimia wapendwa.

Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani
Umeme una mengi.

Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.
 
Na moto ulidhibitiwa.View attachment 2602114
Duh.......
Pole sana nkamu
 
Poleni sana
 
Nilipita kuwasalimia wapendwa.

Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani
Umeme una mengi.

Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.
View attachment 2602114

Hakika Mungu ni mwema poleni sana na hongereni kutoka salama !!
Huku kwetu huu msimu wa mvua vitu vinaunguaga sana Kutokana na Radi na kuacha switch on!!
kwelii tahadhari muhimu sana wapendwa!!
 
Zinanitosha.
Za 2008 ni sketi solo.
Solo huwa ni freesize.

Nyingine kama hilo gauni ni Mpira..kwahiyo inafata mwili.

Nyingine ni vitenge..huwa napunguza na kuongeza.japo hata sijabadilika sana,, naona nakuwaga vilevile tu.
duh una kamwili kazuri . Nguo za huko chini nimegawa zote . Vipi mvua huko
 
Mtrotro lipsssss mtrotro unajustiriiiii weeehh unaoneshaka Uko mtramuuu kinouma
Wew huyo kama kawaida Yako😂😂😂
Usijareee kabesaaa babuu salamu zimefika!!
Kabisa ufanye hivo tumemiss kuona ile misulii☺️🤭!! kwa sauti ya Aaliyyah ☺️
Ile misuli acha kabisa ndugu ooh ni noma Sana Babu hafai kabisa 😀
 
Back
Top Bottom