cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,093
Hebu sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa sindo tunadumisha undugu ukolee
Hebu sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa sindo tunadumisha undugu ukolee
Hapa n wapiiii??
Duuh poleeenii sanaaa,Nilipita kuwasalimia wapendwa.
Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani[emoji3064]
Umeme una mengi.
Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.
Ndiwoooo mwenyejiiiii [emoji8][emoji8][emoji8]
Ohhh, poleni sana Annie!🫤Nilipita kuwasalimia wapendwa.
Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani[emoji3064]
Umeme una mengi.
Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.
Zoezi linaendeleaje??🤓Ua......😍😍
Asante MadamOhhh, poleni sana Annie!🫤
Yaani.Duuh poleeenii sanaaa,
Ila umeme jaman, hakuna rafiki hata kidogo.
Poleni sana!Nilipita kuwasalimia wapendwa.
Tuendelee kuchukua tahadhari majumbani kwetu,
Msiache switch on jamani[emoji3064]
Umeme una mengi.
Tulipata ajali ya moto...almost vitu vyote chunbani vimeungua..maisha yanaanza upya kununua kila kitu upya.
Ashukuriwe Mungu,hakuna aliyeumia
Na moto ulidhibitiwa,haukufika vyumba vingine na sehuleni.
Uliishia koridoni.
Kiukweli kwa nilivyomtazama, wenye udada yule alipita, yuko above 40yrs.
Tobaaaaah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Yaani.
Bahati nzuri alikuwepo mtu mkubwa..wangekuwa watoto pekeyao wangeungua vibaya.
Ndo raha ya kuwa main chick hiyo , G anakuelewa vibaya .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anishikie tyuuh dear, siwezi kumpeti peti eti.
Ndiwoooooo, ndiwoooooo dear.Ndo raha ya kuwa main chick hiyo , G anakuelewa vibaya .
Weuwe , raha .. Sijawah kuwa main chick kabisa lol .Ndiwoooooo, ndiwoooooo dear.
Main chick wa G.
Nimekaaa hapa nafanya mathematics
Mtoto muongo sana😅Kiukweli kwa nilivyomtazama, wenye udada yule alipita, yuko above 40yrs.
Sema ana umbo dogo mnooo,